Sasha Obama amejizeekea mapema

Sasha Obama amejizeekea mapema

Uyu binti amekuwa tunamuona wakizurura duniani na Rais mstaafu baraka obama

Leo nimekutana na picha zake mtandaoni ni amejizeekea kabisa

Mwili umefumuka hafanyi mazoezi km mama ake

Kifuani km tayari ameshanyonyesha watoto kadhaa

Obama yupo busy na misigara yake ameacha wahuni wanawafanyia kitu mbaya watoto

Sasha yupo addicted na SEX shule hana muda tena

Yule mwingne maria ni bangi mkononi na kupart

Nimeacha rasmi kuifatilia hii familia binti yangu alikuwa anawapenda sasa watampteza akiona picha za hawa wahuni

Wanapiga minguo ya mitumba muda wote

Hovyo
Wewe badala ya kuwaza maisha yako ya shida, foleni, ya bongo, unamuwaza binti kutoka first family ya, USA, binti anatembea na security guards, fedha aliyonayo kwa jina LA baba yake, hata samia Hana!
 
Naungana na wewe kwenye maisha ya bongo. Aisee Bongo Dar es salaam kuna Tabu unapanda daladala unakanyagwa mixer kubanana majasho na vipafyumu uchwara vinata kwenye nguo dereva kafungulia radio station kwa sauti ya juu anasikiliza uchambuzi wa mpira yaani ukimwambia jirani yako unanisukuma unakuwa umeanzisha zogo madereva wanapiga honi kama wana vichaa.

Tanesco wanakata umeme tunavaa nguo zina mikunjo kama zimetafunwa na hili joto hakuna cha Ac wala feni sasa maji ya kunywa ya moto kama unakunywa chai.

Maisha yamekuwa bored sana hapa mjini au ni mimi tu kwa vile sina pesa ila hata ukiwa na pesa bongo Dar es salaam pabaya harufu za ajabu ajabu mitaro inazuburiwa anytime.
 
Mkuu yaani viwango vya tafsiri ya maisha ya hao .hupaswi hata wajadili wanaishi dunia nyingine kabisa wazazi wanakiasi kwenye kuingilia maisha ya mtoto.sio huku wazazi wanaona sisi ni mali zao kama mashamba yao .wazungu hata kampuni ya Bamako mzazi anakuajiri na anakulipa mshahara na mnawekeana mkataba .na swala la kukurithisha mali sio haki yako tafuta vyako .ulaya mzazi anawajibu wa kukupa mahitaji na elimu ukifika miaka 21 .u are on your own nenda kaajiliwe au akupe mtaji ukapambane uwe na mali zako .ulaya baba billionaire kuandika urith akifa wanae 3 wachukue asilimia 10 tu ya mali zake 90 ziende kwenye kupanda miti afrika na kulinda hifadhi zq wanyama kawaida
 
Jamani eeh hii ni celebrities forum, humu zinaandikwa habari za mastaa,
Sasa mtu akileta habari za star, msituletee habari za sijui tunafwatilia maisha ya watu.
Kama hampendi kufwatilia maisha ya watu humu jamvini mnafwata Nini.

Maisha ya mastar hapa ni mahala pake, hupendi nenda jukwaa la uchumi Huko
 
Huyu binti amekuwa tunamuona wakizurura duniani na Rais mstaafu Baraka Obama.

Leo nimekutana na picha zake mtandaoni, ni amejizeekea kabisa.

Mwili umefumuka, hafanyi mazoezi kama mama yake.

Kifuani, kama tayari ameshanyonyesha watoto kadhaa.

Obama yupo busy na misigara yake, ameacha wahuni wanawafanyia kitu mbaya watoto.

Sasha yupo addicted na SEX shule, hana muda tena.

Yule mwingine Maria ni bangi mkononi na kupart.

Nimeacha rasmi kuifatilia hii familia, binti yangu alikuwa anawapenda, sasa watampteza akiona picha za hawa wahuni.

Wanapiga minguo ya mitumba muda wote.

Hovyo.
View attachment 2764005
Na wewe una watoto?! Hakuna baba anaweza kuandika kitu kama hiki. Trust me.
 
Mkuu yaani viwango vya tafsiri ya maisha ya hao .hupaswi hata wajadili wanaishi dunia nyingine kabisa wazazi wanakiasi kwenye kuingilia maisha ya mtoto.sio huku wazazi wanaona sisi ni mali zao kama mashamba yao .wazungu hata kampuni ya Bamako mzazi anakuajiri na anakulipa mshahara na mnawekeana mkataba .na swala la kukurithisha mali sio haki yako tafuta vyako .ulaya mzazi anawajibu wa kukupa mahitaji na elimu ukifika miaka 21 .u are on your own nenda kaajiliwe au akupe mtaji ukapambane uwe na mali zako .ulaya baba billionaire kuandika urith akifa wanae 3 wachukue asilimia 10 tu ya mali zake 90 ziende kwenye kupanda miti afrika na kulinda hifadhi zq wanyama kawaida

Au anamrithisha paka au mbwa wake [emoji23]
 
Huyu binti amekuwa tunamuona wakizurura duniani na Rais mstaafu Baraka Obama.

Leo nimekutana na picha zake mtandaoni, ni amejizeekea kabisa.

Mwili umefumuka, hafanyi mazoezi kama mama yake.

Kifuani, kama tayari ameshanyonyesha watoto kadhaa.

Obama yupo busy na misigara yake, ameacha wahuni wanawafanyia kitu mbaya watoto.

Sasha yupo addicted na SEX shule, hana muda tena.

Yule mwingine Maria ni bangi mkononi na kupart.

Nimeacha rasmi kuifatilia hii familia, binti yangu alikuwa anawapenda, sasa watampteza akiona picha za hawa wahuni.

Wanapiga minguo ya mitumba muda wote.

Hovyo.
View attachment 2764005
Kwa sababu analiwa
 
Waache wale Bata,
Kwanza umekula?
Babaako aliwahi hata kuwa katibu kata?
Mumfatilie familia nzima yeye Obama na wanae hata hawawajui.
Obama mwenyewe ashawai kulia pale Kenya km mtoto kwamba wanamlinda sana mpk anakosa muda kula bata.

Sasa we unazungumzia watoto.
Nenda kale we jamaa.
Umenunua ka TV kako na wanao mnataka kupangia watu maisha
 
Sasha anapiga sana fegi halafu nahisi atakuwa mtu wa gambe na unga

Hawa mabinti wa Obama wote machakaramu sana. Hata Malia naye wa hovyo tu
Hayo masigara first world ni kitu cha kawaida sana.

Ni story kwa mwanamke wa Africa kuvuta sigara, lakini siyo story kwa wanawake wa dunia ya kwanza kuvuta fegi ni kawaida sana tena wanavuta wakiwa bado wadogo na family haina tatizo na hilo.
 
Kashavaa aina zote classic unazozijua na usizozijua anachofanya anafunika mwili tuu 😂😂😂😂na hizo unazosema mtumba kaulizie bei kama haujajenga uko ulikojificha.

Siku zote maskini nguo ndio eneo lake la kujibrand mwenzio huko kashavuka.
 
Hayo masigara first world ni kitu cha kawaida sana.

Ni story kwa mwanamke wa Africa kuvuta sigara, lakini siyo story kwa wanawake wa dunia ya kwanza kuvuta fegi ni kawaida sana tena wanavuta wakiwa bado wadogo na family haina tatizo na hilo.
Sawa ila madhara yako palepale
 
Kama na ww una familia bas sitaandika comment nlokusudia kuandika
 
Back
Top Bottom