Sasha Obama amejizeekea mapema

Kuna boya mmoja mkenya alitaka oa hapa...
 
Amebadilika mno. Nilipoona picha yake ya tumbo wazi nilishangaa sana. Watu watakusema humu lakini ni ukweli familia ya obama ilijua kuteka watu kipindi hicho. Ilikua ni familia flani matawi saiv imekua tofauti sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…