MAXY MUSAY
JF-Expert Member
- Aug 2, 2017
- 480
- 201
[emoji12] [emoji122] [emoji12]Hili demu dau lake kubwa kumng'oa, Nilimtafuta sana nami nikafaidi matunda ya Allah, nilishindwa alipo niambia nimpeleke Kilimanjaro Hotel kwa breakfast kama siwezi nisimsumbue, niliishiwa pozi...
Ila huo mtungi hapo kifuani utafikiri ana tenda ya ku supply kuwanyonyesha watoto wa ISIS
Hahaaa nimecheka balaaaAkwende kuleee anaiba mume wa mtu,sura yenyewe ya kishamba,kabebwa tu na msambwanda. Viside chick vinakera
[emoji16][emoji16][emoji16]Daaah apole sanaaa.
Sema nni atapata lingine bhna
Ziwa kama kichwa changuu!
Na mimi nilishtuka, nikasema nitajitolea kwenda USA mpaka nimkute huyo tapeli mkubwa. Sasa ananionyesha hilo kulumbembe!!Nikajua ni sasha Obama
Kumbe ni hio mbweha tu