Sasha yamkuta, atapeliwa na wajanja wa mjini

Hapo kifuani kabeba nini hiko........
 
Jamani nini maana ya D😀😀😀 nijulisheni mimi muhenga
 
Ndo dawa ya hawa malaya
Kumbe ni mume wa mtu na analijuwa hilo?!
Ngoja tu atapeliwe
 
Sasha obama sio mzungu hata weupe kazidiwq na huyo sasha wa kwenye post hapo hio racism umeiona wapi??
Hakusema racism, kasema ractis, nafikiri ni aina ya gari aliyotapeliwa.
 
Hahaa watoto wa ISIS tehe
 
Kamanda kama ni ishu ya bei anang'oka sema hukuwa umejipanga.Angesema hatoi penzi kwa mtu asiyempenda au hajiuzi hapo nd'o ungesema mgumu.Lakini kama ni issue ya breakfast , lunch , hotel room na posho yake huyo ni mwepesi maana ananunulika ni kuongeza tu bajeti.Maana hotel room za hotel za 4 - 5 stars zinaanzia US$ 100 - 300 . Mwanamke yeyote abayejiuza ananunulika ili mradi uvifikie viwango alivyojiwekea.Halafu dau lake huwa linapungua kutokana na diplomasia na handling yako tu.
 
sasa kama K" ni maji na mtu umetumia garama zako nyingi...unasubir nn
Jamaa amejilipa.Kama breakfast anataka iwe Kilimanjaro Kempisk ni lazima atapeluwe.Tena ana bahati katapeliwa kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…