jangala22
Senior Member
- May 20, 2021
- 165
- 141
Habari za majukumu wanajamvi,
Naomba kuuliza kwa mtaji wa laki sita nifuge kuku gani kati ya hao sasso au broiler nalenga kufuga kibiashara n.b banda tayari ninalo na vyombo vya chakula na maji ninavyo pia.napatikana mwanza .
Nawasilisha naomba mawazo yenu wanajamvi natumai nitapata muongozo mzuri.
Asante