Hawa broiler bei za kuuza sokoni Kwa Sasa zikoje?Fuga kuku wa nyama (broiler)kama soko unalo la uhakika. Kwa vifaranga 150 vinaweza tosha Kwa mtaji huo wa 600k
Hapa napiga hesabu za haraka kuwa kama utauziwa vifaranga 2000 manake itakutoka 300k chakula Chao ndani ya mwezi na madawa lazima itumike 260k.( Broiler sijawahi Fuga)
Kwa upande wa Sasso hapa Kwa uzoefu wangu nunuaa vifaranga 100 tu maana ukisema ununue 200 kwenye chakula hutawaweza japo unaweza kuwafuga kienyeji (wakajitafutia chakula wenyewe) ila ni hatari kwani uwezekano wa kupoteza ni mwingi.
NB:Anza na broiler then ukiuza Fuga sasso.
Kuna mdau anao nilimuunganisha na wanunuzi Kwa 9500 akiwa tiyari kanyonyolewa na kuchunwa kabisa. Walichukulia kuku 530. Kwa siku mojaHawa broiler bei za kuuza sokoni Kwa Sasa zikoje?
Asante kwa ushauri mzuri nashukuru sana.Fuga kuku wa nyama (broiler)kama soko unalo la uhakika. Kwa vifaranga 150 vinaweza tosha Kwa mtaji huo wa 600k
Hapa napiga hesabu za haraka kuwa kama utauziwa vifaranga 2000 manake itakutoka 300k chakula Chao ndani ya mwezi na madawa lazima itumike 260k.( Broiler sijawahi Fuga)
Kwa upande wa Sasso hapa Kwa uzoefu wangu nunuaa vifaranga 100 tu maana ukisema ununue 200 kwenye chakula hutawaweza japo unaweza kuwafuga kienyeji (wakajitafutia chakula wenyewe) ila ni hatari kwani uwezekano wa kupoteza ni mwingi.
NB:Anza na broiler then ukiuza Fuga sasso.
Samahani kiongoz Niko dodoma natafita wateja wa broiler🙏🙏Kuna mdau anao nilimuunganisha na wanunuzi Kwa 9500 akiwa tiyari kanyonyolewa na kuchunwa kabisa. Walichukulia kuku 530. Kwa siku moja
Nina kuku 190+ broiler nataka kuwauzaKuna mdau anao nilimuunganisha na wanunuzi Kwa 9500 akiwa tiyari kanyonyolewa na kuchunwa kabisa. Walichukulia kuku 530. Kwa siku moja