Sativa ashauriwe apunguze kuwadhihaki Polisi

Sativa ashauriwe apunguze kuwadhihaki Polisi

Next time, things won't be the same !!! This has to stick in his mind and decide otherwise !!!
 
I agree, Jeshi la polisi ni nguzo muhimu kwenye jamii na ustawi wetu. Kuna matatizo kibao na mengi askari wanaya solve kizalendo na kwa upendo. Kwanini anaidharau kisa watu wachache waliomkera?yeye anajiona nani kisa ana account twitter? Anajua watu wapo polisi kwa njaa? Hivi ukiamua kuitumikia jamii yako kwa kua polisi una kosa gani? Polisi duniani kote wapo na ni kazi ya kutoka karne hizo.
Yeah jeshi kazi yake ni kulinda raia na mali Zake na sio kuteka raia SSH
 
Naombeni niweke wazi, mimi sio askari wala siko upande wao!!

Najua maumivu anayoyapitia Edgar Mwalebela ( Sativa ) baada ya kutekwa na kunusurika kuuwawa mwaka huu.

Sasa jamaa yetu amekuwa akishambulia askari yoyote kwa lugha ngumu na kali.

Naomba ashauriwe apunguze kufanya hivyo, achague mbinu ya kudili na adui kimyakimya. Hii mbinu ya sasa inachafua taswira yake.View attachment 3152394
Mdomo nao unaponza
 
Amezidi sana,siyo muda ataingia kwenye 18 zao, nikweli alichofanyiwa si kitu kizuri ila siyo muda ataponzwa na sifa za kijinga kwa comments za kumsifia...........wanamlia timing tu ajichanganye

Wewe anakukera?
 
Naombeni niweke wazi, mimi sio askari wala siko upande wao!!

Najua maumivu anayoyapitia Edgar Mwalebela ( Sativa ) baada ya kutekwa na kunusurika kuuwawa mwaka huu.

Sasa jamaa yetu amekuwa akishambulia askari yoyote kwa lugha ngumu na kali.

Naomba ashauriwe apunguze kufanya hivyo, achague mbinu ya kudili na adui kimyakimya. Hii mbinu ya sasa inachafua taswira yake.View attachment 3152394
Post za leo kwa polisi nahisi sativa hayupo Tz
 
Vitani huchagui silaha. Mtu anusurike kufa afu uanze kumbwambia aseme hivi au vile, unaumwa?

Hawa kina Sativa, Lissu hata wakitoa matusi ya nguoni tuwaelewe tu wamepita bonde la uvuli wa mauti.
Aminaaaa
 
Back
Top Bottom