Sativa ashinda rufaa dhidi ya DPP, amri ya kumkamata na kumrejesha nchini (Extradition) yabutuliwa na Mahakama Kuu

Huyo mpumbavu mafwele atateka na kuua wangapi? Ebu aachane na ujinga ,tangu aanze kuteka na kuua ameachive nini? Amewamaliza wanaharakati? Ana miaka michache tu kufikia umri wa kustaafu.
 
NAKALA KAMILI YA KESI HII NI MUHIMU KWA UMMA MPANA

Pia nakala zipelekwe kwenye ofisi hizi za :

C.C Hamza S. Johari - Attorney General
C.C Sylvester A. Mwakitalu - DPP
C.C Camillus Mongoso Wambura - IGP

Note: While the ruling has been widely documented across Tanzanian legal circles and media, the final physical publication text of the judgment is expected to be uploaded to the official TanzLII platform database under recent High Court criminal appeals.

TanzLII is operated by the Judiciary of Tanzania and the Office of the Attorney General, Chief Parliamentary Draftsman, and publishes the law of Tanzania for
 
Kazi nzuri kwa Mahakama Kuu Tanzania(Tanganyika), naamini wakina Jaji Ndunguru et al, na wao watafanyakazi tukuka, kama mwenzao wakiongozwa na Katiba,Sheria, Kanuni, marejeo ya kesi mbalimbali, Uzoefu, busara na weledi wao
Labda mahakama ya rufaa maana kama alisema 'mahakama hii haiangalii uzito wa ushahidi wala kuaminika kwake'.
Tutarajie nini kwenye hukumu?
 


Umeeleza ukweli mtupu mkuu! Huu uamuzi ni kielelezo tosha cha nini maana ya Uhuru wa Mahakama (Judicial Independence). Jaji Ndumbaro ameonyesha weledi wa hali ya juu kwa kukataa kuipitisha tu amri hiyo bila kuikagua.
Kubainisha kuwa Mahakama ya Kisutu ilivuka mamlaka yake na kurekebisha makosa ya kiufundi kwenye viapo vya polisi ni ujumbe mzito kwa vyombo vya dola kuwa mahakama si muhuri wa serikali. Ili haki itendeke, ni lazima taratibu za kisheria zifuatwe kwa 100%. Pongezi nyingi ziiendee Mahakama Kuu kwa kusimamia weledi na haki badala ya upendeleo! ✊⚖️
 
Majaji walio toa amri hizo , ni kwa nini bado wapo kazini hadi sasa? hawatumii weledi kama wenzao hawa, sasa wapo kwa kazi gani?
 
Kuna mahakimu wengine walikwenda shule kusomea ujinga. Kesi ya extradition hufunguliwa mahali aliko fugitive anayelengwa! Serikali yetu imejaa wahalifu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…