Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Sativa amewakalia kooni ACT wazalendo 😂. Kupitia ukurasa wake wa X anaandika
"Kanuni zinasema ukipiga kura NENDA nyumbani. Haisemi ukae mita 200.
Kwahiyo ACT WAZALENDO watalinda kura kutokea nyumbani.🫵🏾😂
KM ADO SHAIBU ebu toa shule kwa vijana wako. Hawakuwepo Dodoma wakati una mwaga wino.
Haya yote ndio madhara ya kutosikiliza MABROO WANASEMAJE. MBAROO waliwaambia hizo kanuni hazina MAADILI mkakaza shingo.
Mmeingia kwenye 18 za WAKOLONI WEUSI.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎"