Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
zito si ni ccm B iliyojifichaSativa amewakalia kooni ACT wazalendo ๐. Kupitia ukurasa wake wa X anaandika
"Kanuni zinasema ukipiga kura NENDA nyumbani. Haisemi ukae mita 200.
Kwahiyo ACT WAZALENDO watalinda kura kutokea nyumbani.๐ซต๐พ๐
KM ADO SHAIBU ebu toa shule kwa vijana wako. Hawakuwepo Dodoma wakati una mwaga wino.
Haya yote ndio madhara ya kutosikiliza MABROO WANASEMAJE. MBAROO waliwaambia hizo kanuni hazina MAADILI mkakaza shingo.
Mmeingia kwenye 18 za WAKOLONI WEUSI.
TUTAKUWEPO๐ซต๐พ๐"
Ngoja wanyooshwe hiyo Oktobazito si ni ccm B iliyojificha
Si walijitia ni watu wa mikazo, sasa milio ni mingiHawakumsikiliza Broo Mnyika?
Iliyochangamkazito si ni ccm B iliyojificha
OKTOBA TUNA โ๏ธSativa amewakalia kooni ACT wazalendo ๐. Kupitia ukurasa wake wa X anaandika
"Kanuni zinasema ukipiga kura NENDA nyumbani. Haisemi ukae mita 200.
Kwahiyo ACT WAZALENDO watalinda kura kutokea nyumbani.๐ซต๐พ๐
KM ADO SHAIBU ebu toa shule kwa vijana wako. Hawakuwepo Dodoma wakati una mwaga wino.
Haya yote ndio madhara ya kutosikiliza MABROO WANASEMAJE. MBAROO waliwaambia hizo kanuni hazina MAADILI mkakaza shingo.
Mmeingia kwenye 18 za WAKOLONI WEUSI.
TUTAKUWEPO๐ซต๐พ๐"
View attachment 3369569
Why?OKTOBA TUNA โ๏ธ