Matulanya Mputa
JF-Expert Member
- Aug 14, 2023
- 245
- 655
Nimeona andiko la Sativa na mawakili wake akiwemo Jebra Kambole kuwa serikali kupitia jeshi la police imlipe B5 jambo ambalo binafsi haliwezekani na halitowezekana kamwe .
Mf kama Tundu Lissu ambaye alikuwa mbunge alinusurika kama Sativa akapambana kulipwa staiki zake je Sativa utalipwa?
Jana nilitoa ushauri ata kama mahakama zetu mbovu nendeni mkafungue kesi juu ya Mafwele najua mnaweza msipate haki,lakini muuaji mtakuwa mumeshamshusha nguvu na watu watakuwa wamemjua na kasi itapungua.
Pia mahakama ndyo itoe maamuzi ya wewe kulipwa, kwakua mkono wa raisi ulitoa baraka za kulipwa M30 za matibabu, basi nendeni mahakamani kwakua umemtambua mtekaji.