Sativa ni kujidanganya kulipwa Bilioni 5 na Serikali Kizembe

Kwa maoni yangu, hajidanganyi! Kisheria cases zinazoangukia kwenye general damages (unless kuna proof ya specific damages ambazo mtu amepata) uamuzi tunabaki kwa mahakama - mahakama inaweza kuona kwamba kiasi ulichodai ni kikubwa mno ikapunguza, au kwamba ni kidogo na ikaongeza. Sasa kwa vile mtu anayedai hawezi kujua uamuzi wa mahakama, anaweza kuweka kiasi cha kuanzia na ni mahakama itakayoona ikuliane nacho, ikipunguze au ikiongeze. Hivyo, katika muktadha huo mlalamikaji anaweza kuanzia mahali fulani, kama huyu mkuu alivyofanya.
 
Dunia ipi unazungumzia? USA? UK? Burundi?
Mtoa mada umeishia darasa la ngapi wewe!!!!
Ishu iliyopo sio billion 5, watanzania tunahitaji tuwajue hao akina mafwele mahakamani na atatafutwa popote alipo apande kizimbani..hizi kesi zitajulikana duniani kote kuwa SERIKALI ya TANZANIA ni watekaji
 
Atumie hii fursa kupata political assylu nchi za Scandinavia aache upimbi
 
Wewe ndo DPP?

Acha kiherehere wewe ni mtoto wa kiume!! Subiri Mahakama impige chini ndo uandike huo utumbo wako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…