Heparin
JF-Expert Member
- Sep 24, 2021
- 242
- 1,141
Baada ya ukimya wa muda mrefu, hatimaye Edigar Mwakabela maarufu kama Sativa ameweka ujumbe unaotoa dokezo kuwa Jeshi la Polisi ndilo lilihusika kumteka wakiwa na lengo la kumuua.
Amesema ujumbe huu utumike kama rejea rasmi ya kuwashtaki polisi hata ikitokea siku moja hayupo Duniani.
Stori ya kutekwa kwake ipo hapa: Alichosimulia Edgar Mwakabela "Sativa" kuhusu waliomteka na kumpiga Risasi ya Kichwa
Kupita matukio mengine ya utekaji nchini bofya hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Madai haya yanatolewa siku moja baada ya Spika wa Bunge la Tanzania kukataa kujadili hoja ya utekaji, na Mahakama Kuu kusema haina ushahidi kuwa Polisi ndiyo wanahusika na utekaji unaoendelea nchini.
Pia soma: Mahakama yaamuru Polisi kuwatafuta viongozi wa BAVICHA (kina Deusdedith Soka) waliopotea