Pre GE2025 Sativa: Nilitekwa na Jeshi la Polisi wakiwa na lengo la kuniua, hata nikipotea kesho Jeshi la Polisi litakuwa limehusika

Pre GE2025 Sativa: Nilitekwa na Jeshi la Polisi wakiwa na lengo la kuniua, hata nikipotea kesho Jeshi la Polisi litakuwa limehusika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sawa Kabisa na hiyo ndio fursa pia kwenda kujaribu maisha sehemu nyingine-Green Pasture
Anaweza asilione hilo maana maisha ya wenye itikadi kali za siasa nao akili zao wanazijua wenyewe.

Kwa siasa za Tz ni ujinga kuhatarisha maisha yako au kufa kwa sababu hakibadiliki chochote.
 
Mchawi mpe mwanao alee! Hawa mbwa sasa wameumbulwa; hawana pa kuchomokea tena. Mbwakoko wakubwa!

Sasa waje tena wamteke tuone kama hawajaenda kunyea debe huko ICC. MipoliCCM ina akili za kitutiusa sana.

Polisi ni kazi ya laana. Kamwe usimriuusu nduguyo au mwanao kuwa polisi. Hii ni kazi ya kishetani. Ukoo ukiwa na mtu mmoja ambaye ni polisi, ukoo mzima unalaanika. Kataa laana, kataa upoliCCM.
 
Haya mambo ya kutekana inafika muda unatamani upate mabomu kama kule somalia na kuenda kujilipua kwenye mikutano ya watesaji wananchi
 
Kama anachaguo hilo la kutokufungua basi atulie hivyo hivyo asiwape watu baki jukumu ambalo yeye kaona halina umuhimu kwake
Mkuu una mjomba policcm nini.....

Jamaa katoa taarifa tu
 
Watu wanauelewa mdogo sana kuhusu sheria Yeye ndo aende kuwashitaki hao polisi muda huu akiwa hai kwa kesi ya kuteka na attempt murder kama anasubiri atekwe na auwawe alafu watu watumie hiyo tweet kuwashitaki polisi hiyo kesi kushinda ni ndoto ya abunuwasi
We unafikiri hajui kwamba kufanya hivyo bila ushahidi wa moja kwa moja ni kupoteza muda?
 
Mkuu una mjomba policcm nini.....

Jamaa katoa taarifa tu
Hapa tunazungumzia mambo ya kisheria ni mahakama gani iliyokataa ushahidi usio na shaka uliofikishwa mbele yake? Tatizo mnaulevi wa kisiasa hadi katika mambo ya kisheria mnataka mahakama iamue kesi kisa hisia zako binafsi
 
  • Thanks
Reactions: UCD

Hakusema hayo kwa kumaanisha, amesema hayo kama detterent kwa polisi, ili wasimguse tena..
 
Duuh mbna inaogopeshaa sasa!! Aaaaah
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Mama yangu mkubwa ni polisi namchukia sana mara ya mwisho tumeongea ilikuwa 2009
Nawachukia polisi
 
Kwamba kichwa chake kilikuwa kigumu kuliko risasi ama ilishindikana vipi
 
Watu wanauelewa mdogo sana kuhusu sheria Yeye ndo aende kuwashitaki hao polisi muda huu akiwa hai kwa kesi ya kuteka na attempt murder kama anasubiri atekwe na auwawe alafu watu watumie hiyo tweet kuwashitaki polisi hiyo kesi kushinda ni ndoto ya abunuwasi
Ni mahakama ipi inayoweza kutoa haki kwa hayo kwa vile watendaji ni group moja na maccm.
 
Kwahaya yanayoendela kila kukicha ni dhahiri kwamba wamedhamiri kuyafanya.

kupitia muktadha huo nimebahatika kujifunza misamiati mipya ya aina za Utawala

1. THUGOCRACY
2. KAKOCRACY
3. KAKISTOCRACY

Na:-

-REPUBLIC OF GANGSTERS
-RULE OF RULERS.
-CHAWAISM
 
Watu wanauelewa mdogo sana kuhusu sheria Yeye ndo aende kuwashitaki hao polisi muda huu akiwa hai kwa kesi ya kuteka na attempt murder kama anasubiri atekwe na auwawe alafu watu watumie hiyo tweet kuwashitaki polisi hiyo kesi kushinda ni ndoto ya abunuwasi
Sheria kwa nchi gani! Nchi zinazoongozwa kwa misingi ya haki na utawala bora Tz haipo!
 
Watu wanauelewa mdogo sana kuhusu sheria Yeye ndo aende kuwashitaki hao polisi muda huu akiwa hai kwa kesi ya kuteka na attempt murder kama anasubiri atekwe na auwawe alafu watu watumie hiyo tweet kuwashitaki polisi hiyo kesi kushinda ni ndoto ya abunuwasi
Hata kama Polisi watamuua mtu mchana kweupe kama aqwelina au juzi Simiyu utawafanya nini? Hawawezi kufungwa jamaa alichofanya ni kusema ukweli ili akitekwa watu wajue waliomuua ni Polisi kama walivozoea kuua watanzania
 
Back
Top Bottom