Ghost Republic
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 623
- 533
Sawa Kabisa na hiyo ndio fursa pia kwenda kujaribu maisha sehemu nyingine-Green PastureAfanye hivyo hapa kushakuwa sio salama kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa Kabisa na hiyo ndio fursa pia kwenda kujaribu maisha sehemu nyingine-Green PastureAfanye hivyo hapa kushakuwa sio salama kwake
Anaweza asilione hilo maana maisha ya wenye itikadi kali za siasa nao akili zao wanazijua wenyewe.Sawa Kabisa na hiyo ndio fursa pia kwenda kujaribu maisha sehemu nyingine-Green Pasture
Angalia usijeliwa huku unatafuta pesaNa hiyo ndio silaha yangu Mimi mawazo yangu ni kutafuta pesa tu hayo mengine nimewaachia wajinga. Na kama unavyojua wajinga hawaishi
Mkuu una mjomba policcm nini.....Kama anachaguo hilo la kutokufungua basi atulie hivyo hivyo asiwape watu baki jukumu ambalo yeye kaona halina umuhimu kwake
We unafikiri hajui kwamba kufanya hivyo bila ushahidi wa moja kwa moja ni kupoteza muda?Watu wanauelewa mdogo sana kuhusu sheria Yeye ndo aende kuwashitaki hao polisi muda huu akiwa hai kwa kesi ya kuteka na attempt murder kama anasubiri atekwe na auwawe alafu watu watumie hiyo tweet kuwashitaki polisi hiyo kesi kushinda ni ndoto ya abunuwasi
Hapa tunazungumzia mambo ya kisheria ni mahakama gani iliyokataa ushahidi usio na shaka uliofikishwa mbele yake? Tatizo mnaulevi wa kisiasa hadi katika mambo ya kisheria mnataka mahakama iamue kesi kisa hisia zako binafsiMkuu una mjomba policcm nini.....
Jamaa katoa taarifa tu
Hakusema hayo kwa kumaanisha, amesema hayo kama detterent kwa polisi, ili wasimguse tena..Hapa tunazungumzia mambo ya kisheria ni mahakama gani iliyokataa ushahidi usio na shaka uliofikishwa mbele yake? Tatizo mnaulevi wa kisiasa hadi katika mambo ya kisheria mnataka mahakama iamue kesi kisa hisia zako binafsi
Ni mahakama ipi inayoweza kutoa haki kwa hayo kwa vile watendaji ni group moja na maccm.Watu wanauelewa mdogo sana kuhusu sheria Yeye ndo aende kuwashitaki hao polisi muda huu akiwa hai kwa kesi ya kuteka na attempt murder kama anasubiri atekwe na auwawe alafu watu watumie hiyo tweet kuwashitaki polisi hiyo kesi kushinda ni ndoto ya abunuwasi
Utakuwa unamatatizo kwenye ubongo wako nenda kamwone Daktari mapema kabla ujapata ukichaa.Mama yangu mkubwa ni polisi namchukia sana mara ya mwisho tumeongea ilikuwa 2009
Nawachukia polisi
Sheria kwa nchi gani! Nchi zinazoongozwa kwa misingi ya haki na utawala bora Tz haipo!Watu wanauelewa mdogo sana kuhusu sheria Yeye ndo aende kuwashitaki hao polisi muda huu akiwa hai kwa kesi ya kuteka na attempt murder kama anasubiri atekwe na auwawe alafu watu watumie hiyo tweet kuwashitaki polisi hiyo kesi kushinda ni ndoto ya abunuwasi
Kivipi? Fafanua kwa mifanoSheria kwa nchi gani! Nchi zinazoongozwa kwa misingi ya haki na utawala bora Tz haipo!
Hata kama Polisi watamuua mtu mchana kweupe kama aqwelina au juzi Simiyu utawafanya nini? Hawawezi kufungwa jamaa alichofanya ni kusema ukweli ili akitekwa watu wajue waliomuua ni Polisi kama walivozoea kuua watanzaniaWatu wanauelewa mdogo sana kuhusu sheria Yeye ndo aende kuwashitaki hao polisi muda huu akiwa hai kwa kesi ya kuteka na attempt murder kama anasubiri atekwe na auwawe alafu watu watumie hiyo tweet kuwashitaki polisi hiyo kesi kushinda ni ndoto ya abunuwasi