Wao wanatekeleza agizo tu (order kutoka juu), maana jeshini hakunaga kuhoji ukiagizwa 🙌Duuuh Hivi hawa wasioujulikana wao hawana mioyo ya nyama km binadamu wengine? Utu je? Huruma na Hofu? Woga nao?
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Very powerfull Post 🙏🙏tuliachie jeshi la polisi naona
Huyo mwananchi mwenye hasira kali ndo tunayemtakaa hapa sisi wananchi ambao hatuna hasira kali, ili atujuze kulikoni.kama alikua akitumia lugha za matusi mtandaoni huwenda akawa ni mwananchi mwenye hasira kali kamfanyia hayo yote
Hapo kwenye mabano, wao je hii hawana guts km binadamu wengine.Wao wanatekeleza agizo tu (order kutoka juu), maana jeshini hakunaga kuhoji ukiagizwa [emoji119]
aya ya mwisho umemanisha kipi hasaHuyo mwananchi mwenye hasira kali ndo tunayemtakaa hapa sisi wananchi ambao hatuna hasira kali, ili atujuze kulikoni.
Hivi hamuoni hata aibu kutaka kupoteza nafsi na uhai wa wenginee? Nyie mtaishi milelee? Khaaaah
Walishakufirimba ndo maana unayapata maumivu yake sio?Daaaaa....wamemfilimbaa huyo hatakaa atukane serikali kamweer
Hakuna mwananchi wa kawaida mwenye uwezo wa kumsafirisha mtu kutoka Dar kwenda Arusha. Atoke Arusha mpaka Katavi bila usumbufu hapo barabarani hayupo.kama alikua akitumia lugha za matusi mtandaoni huwenda akawa ni mwananchi mwenye hasira kali kamfanyia hayo yote
Nimemaanisha nilicho kiandikaaa. Jiheshimu nawee sijui kijana au kitu ganii.aya ya mwisho umemanisha kipi hasa
jaribu kujiheshimu sijui binti au kitu gani
wahalifu wananjia nyingi sana nduguHakuna mwananchi wa kawaida mwenye uwezo wa kumsafirisha mtu kutoka Dar kwenda Arusha. Atoke Arusha mpaka Katavi bila usumbufu hapo barabarani hayupo.
Kwa mara ya pili wasiojulikana wameshindwa kupoteza ushahidi. Mungu mkubwaView attachment 3027767
Edger Mwakalebela maarufu kama Sativa ambae anadaiwa kutekwa Dar es Salaam siku chache zilizopita amesema baada ya kutekwa alipelekwa kituo cha OysterBay.
Sativa ameyasema hayo wakati akiwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Mpimbwe alipokuwa akipatiwa matibabu kabla ya kupelekwa hospital ya Rufaa Mkoa wa Katavi huku Mganga Mkuu wa Halmashauri hiyo Martin Lohay akithibitisha kumpokea akiwa na majeraha.
Pia soma
Mwanaharakati wa X(twitter)Anq shughuli gan uyu? nj mwanasiasa? mwanaharakati? au? mtujuze wengine ndo kwanza tunamsikia apa.
Wanaotoka bush na kuja mjini uzeeni mara nyingi ndio huwa na hizi tabia, wakipewa hivyo vitengo na ule ushamba wao basi ndio wanajiona miungu watu, wanataka kuforce waonekane wao wajanja zaidi ya waliowakuta town, matokeo yake ndio wanafanya huo unyama kwa wanadamu wenzao.Duuuh Hivi hawa wasioujulikana wao hawana mioyo ya nyama km binadamu wengine? Utu je? Huruma na Hofu? Woga nao?
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kituo hakina CCTV ?Kumbe lengo walikuwa ni wamuue.
Basi hicho kituo cha Osterbay kuna mambo mengi yanaendelea
Unaanzje kumfanyia unyama wa namna hii binadamu mwenzako.Mungu yupoWanaotoka bush na kuja mjini uzeeni mara nyingi ndio huwa na hizi tabia, wakipewa hivyo vitengo na ule ushamba wao basi ndio wanajiona miungu watu, wanataka kuforce waonekane wao wajanja zaidi ya waliowakuta town matokeo yake ndio wanafanya huo unyama kwa wanadamu wenzao.
Watu wawe wanakuja mjini mara kwa mara hata kama wakiishia stand ya Magufuli wageuke kurudi makwao sio mbaya.
Inaumiza kwa kweliii, aaaahWanaotoka bush na kuja mjini uzeeni mara nyingi ndio huwa na hizi tabia, wakipewa hivyo vitengo na ule ushamba wao basi ndio wanajiona miungu watu, wanataka kuforce waonekane wao wajanja zaidi ya waliowakuta town, matokeo yake ndio wanafanya huo unyama kwa wanadamu wenzao.
Watu wawe wanakuja mjini mara kwa mara, hata kama wakiishia pale stand ya Magufuli then wageuke kurudi makwao sio mbaya, itasaidia kuwapunguza ushamba.