SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Oysterbay kabla ya kusafirishwa sehemu nyingine na nimepigwa risasi ya kichwa

SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Oysterbay kabla ya kusafirishwa sehemu nyingine na nimepigwa risasi ya kichwa

kama alikua akitumia lugha za matusi mtandaoni huwenda akawa ni mwananchi mwenye hasira kali kamfanyia hayo yote
Huyo mwananchi mwenye hasira kali ndo tunayemtakaa hapa sisi wananchi ambao hatuna hasira kali, ili atujuze kulikoni.

Hivi hamuoni hata aibu kutaka kupoteza nafsi na uhai wa wenginee? Nyie mtaishi milelee? Khaaaah
 
Wao wanatekeleza agizo tu (order kutoka juu), maana jeshini hakunaga kuhoji ukiagizwa [emoji119]
Hapo kwenye mabano, wao je hii hawana guts km binadamu wengine.
Inaumiza mnooo!! [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
View attachment 3027767
Edger Mwakalebela maarufu kama Sativa ambae anadaiwa kutekwa Dar es Salaam siku chache zilizopita amesema baada ya kutekwa alipelekwa kituo cha OysterBay.

Sativa ameyasema hayo wakati akiwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Mpimbwe alipokuwa akipatiwa matibabu kabla ya kupelekwa hospital ya Rufaa Mkoa wa Katavi huku Mganga Mkuu wa Halmashauri hiyo Martin Lohay akithibitisha kumpokea akiwa na majeraha.

Pia soma
Kwa mara ya pili wasiojulikana wameshindwa kupoteza ushahidi. Mungu mkubwa
 
Duuuh Hivi hawa wasioujulikana wao hawana mioyo ya nyama km binadamu wengine? Utu je? Huruma na Hofu? Woga nao?

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Wanaotoka bush na kuja mjini uzeeni mara nyingi ndio huwa na hizi tabia, wakipewa hivyo vitengo na ule ushamba wao basi ndio wanajiona miungu watu, wanataka kuforce waonekane wao wajanja zaidi ya waliowakuta town, matokeo yake ndio wanafanya huo unyama kwa wanadamu wenzao.

Watu wawe wanakuja mjini mara kwa mara, hata kama wakiishia pale stand ya Magufuli then wageuke kurudi makwao sio mbaya, itasaidia kuwapunguza ushamba.
 
Wanaotoka bush na kuja mjini uzeeni mara nyingi ndio huwa na hizi tabia, wakipewa hivyo vitengo na ule ushamba wao basi ndio wanajiona miungu watu, wanataka kuforce waonekane wao wajanja zaidi ya waliowakuta town matokeo yake ndio wanafanya huo unyama kwa wanadamu wenzao.

Watu wawe wanakuja mjini mara kwa mara hata kama wakiishia stand ya Magufuli wageuke kurudi makwao sio mbaya.
Unaanzje kumfanyia unyama wa namna hii binadamu mwenzako.Mungu yupo
 
Wanaotoka bush na kuja mjini uzeeni mara nyingi ndio huwa na hizi tabia, wakipewa hivyo vitengo na ule ushamba wao basi ndio wanajiona miungu watu, wanataka kuforce waonekane wao wajanja zaidi ya waliowakuta town, matokeo yake ndio wanafanya huo unyama kwa wanadamu wenzao.

Watu wawe wanakuja mjini mara kwa mara, hata kama wakiishia pale stand ya Magufuli then wageuke kurudi makwao sio mbaya, itasaidia kuwapunguza ushamba.
Inaumiza kwa kweliii, aaaah
 
Back
Top Bottom