Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 3,710
- 5,054
Wapo watoto wa mjini hapa hupewa hizo kazi wanakataa, tatizo hao washamba ndio wanazipenda sana, ma snitch balaa.Inaumiza kwa kweliii, aaaah
Pitia Huu uzi wa Story ya Kutekwa kwa Boniyai, Mbowe na Lema..Kituo hakina CCTV ?
Turekebishe kidogo hapo hao walitupwa katika tanuri la moto mkali ila Daniel yeye ndiye alitupwa katika simba wakali wenye njaa.Kama alipigwa risasi ya kichwa then ikaenda kidevuni ina maana hapo ni Mungu tu hakutaka jamaa aondoke(afe).
Ni kama ile hadithi kwenye Biblia ya "Shadraka, Meshaki, na Abednego,” waliotupiwa kwenye Chumba chenye Simba wakali wenye njaa ili waliwe wade
Lakini Mungu muweza akawaokoa
Wakati wa Mungu ni wakati wa Mungu tu 🙏
Wapewe orders za kuua wazazi wao, watoto wao,ndugu zao uone kama hawato hojiWao wanatekeleza agizo tu (order kutoka juu), maana jeshini hakunaga kuhoji ukiagizwa 🙌
Daaaaa....wamemfilimbaa huyo hatakaa atukane serikali kamweer
Kwani Head imejumuhisha nini? Amepigwa kichwani sehemu ya Taya.Mpaka sasa mm najiuloza RISASI YA KICHWA?
hivi ni kichwa hichi tukijuachoooo?
Ahaaa kumbe taya. Basi sawaKwani Head imejumuhisha nini? Amepigwa kichwani sehemu ya Taya.
Angepona na Kuzungumza?Duuh Risasi ya Kichwa?
Yaani upigwe Risasi ya Kichwa halafu upone? Hivi kwanini Elimu ya Tanzania hasa ya Siku hizi inazalisha Mijuha tu mno?
View: https://x.com/iamcleopatricia/status/1806380597964616012?t=oVlutObHgvrV-s05gd8brw&s=08
Sativa anaelezea alivyotekwa na kupelekwa mpaka kituo cha polisi ostbay ila akuchuliwa taarifa, kabla ya kumtupa walipiga risasi ya kichwa
Mpaka sasa mm najiuloza RISASI YA KICHWA?
hivi ni kichwa hichi tukijuachoooo?
Ilipigwa Kichwani ila kwa bahati nzuri iliingilia kwemye taya ikatokea Mdomoni haikuharibu kichwa ila kusudio lilikuwa kichwaniYaani upigwe Risasi ya Kichwa halafu upone? Hivi kwanini Elimu ya Tanzania hasa ya Siku hizi inazalisha Mijuha tu mno?
Head:-Ahaaa kumbe taya. Basi sawa
Ilipigwa Kichwani ila kwa bahati nzuri iliingilia kwemye taya ikatokea Mdomoni haikuharibu kichwa ila kusudio lilikuwa kichwani
View attachment 3027863