SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Oysterbay kabla ya kusafirishwa sehemu nyingine na nimepigwa risasi ya kichwa

SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Oysterbay kabla ya kusafirishwa sehemu nyingine na nimepigwa risasi ya kichwa

Kama alipigwa risasi ya kichwa then ikaenda kidevuni ina maana hapo ni Mungu tu hakutaka jamaa aondoke(afe).

Ni kama ile hadithi kwenye Biblia ya "Shadraka, Meshaki, na Abednego,” waliotupiwa kwenye Chumba chenye Simba wakali wenye njaa ili waliwe wade

Lakini Mungu muweza akawaokoa

Wakati wa Mungu ni wakati wa Mungu tu 🙏
Turekebishe kidogo hapo hao walitupwa katika tanuri la moto mkali ila Daniel yeye ndiye alitupwa katika simba wakali wenye njaa.
 
Daaaaa....wamemfilimbaa huyo hatakaa atukane serikali kamweer

Mbona hakuna post ambayo ameitukana serikali? Nimeona post zake nyingi ni za kuBET(Mikeka).

Kama walimtelekeza Mbuga ya wanyama katavi na walilenga risasi ya kichwa ila ikampiga kwenye TAYA ,hao waliomteka wajitafakari watakufa mmoja mmoja.

Hakuna watu wenye ukatili kama POPO aka FEDS aka MANJAGU aka MAMWERA aka WAZEE aka WAJOMBA ,hao jamaa wako tayari kuua kukudhulumu mali.
 
Yaani upigwe Risasi ya Kichwa halafu upone? Hivi kwanini Elimu ya Tanzania hasa ya Siku hizi inazalisha Mijuha tu mno?
Ilipigwa Kichwani ila kwa bahati nzuri iliingilia kwemye taya ikatokea Mdomoni haikuharibu kichwa ila kusudio lilikuwa kichwani
 
Back
Top Bottom