inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Kwamba umekatwa sikio umekatwa kichwaMaswali meeengi. Hizo zote ni sehemu ya kichwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba umekatwa sikio umekatwa kichwaMaswali meeengi. Hizo zote ni sehemu ya kichwa.
Basi Sawa Wewe unajua Kichwa ni Nini?Kwamba umekatwa sikio umekatwa kichwa
Kijana punguza ujuaji na uvivu si kugoogle maana ya kichwa kuliko kuuliza maswali ya kitoto. Haya sikio liko tumboni mjadala uishe.Kwamba umekatwa sikio umekatwa kichwa
Nigugo kuhusu kichwa na sikio?Kijana punguza ujuaji na uvivu si kugoogle maana ya kichwa kuliko kuuliza maswali ya kitoto. Haya sikio liko tumboni mjadala uishe.
Aligusa shavu la nini kwanza??Kafunzwa adabu hajauawa kikatiri ni funzo tu siku nyingine akigusa shavu akumbuke kua kutukana sio vizuri itamkumbusha pia kwamba Bange sio nzuri kwa afya ya akili
Kunamengi maswali ila ndugu yetu atakuwa na meng ya kusimulia ila sijui kama atathibutu kuyasema yoteSure maana Pori la katavi lina simba wala watu na pia wasiojilikana wamemiss-target ya kupiga kwenye ubongo wakapiga kwenye TAYA ,jamaa bado kazi aliyotumwa hajaikamilisha.
Kumbuka Alipelekwa Arusha kisha KATAVI.
->Kama lengo lilikua kumpeleka Katavi, njia rahisi ingekua kupita Mbeya au Tabora. Kwanini wazungukie Arusha? Walienda kumfuata nani Arusha?
->Je aliyeorganize unyama huo yupo Arusha? Ni nani anaishi Arusha mwenye uzoefu wa kuteka, kutesa na kuua?
Lissu alivyopigwa risasi ,kuna mtu alionekana Dodoma siku ya Tukio na hakuwepo kabisa kwenye sherehe za ikulu ambapo si kawaida yake ,kutekwa kwa Sativa na kupelekwa Arusha ,KUNANI?
Wewe tukana na Wewe ushikishwe adabu km mwenzioAligusa shavu la nini kwanza??
Nafikiri tuheshim sheria otherwise ipo siku masela watavamia Bunge
Mimi mtu mzima siwezi tukana mtu bila sababu mkuu?Wewe tukana na Wewe ushikishwe adabu km mwenzio
Inaonyesha....DOGO amefuzu Chuo kikuu cha matusi na lugha chafu
HahahhaahahNimeshapewa ONYO Kali na Payge nisiendelee na hayo mambo ya matusi ya huyo dogo km hujaona basi Wewe ushapitwa
Nop Hapana Sikio Ni sehemu ya Kichwa na hata macho ni sehemu ya kichwaKwamba umekatwa sikio umekatwa kichwa
Halafu ndo wanataka kuunda tume?Kumbe lengo walikuwa ni wamuue.
Basi hicho kituo cha Osterbay kuna mambo mengi yanaendelea
View attachment 3027767
Edger Mwakalebela maarufu kama Sativa ambae anadaiwa kutekwa Dar es Salaam siku chache zilizopita amesema baada ya kutekwa alipelekwa kituo cha OysterBay.
Sativa ameyasema hayo wakati akiwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Mpimbwe alipokuwa akipatiwa matibabu kabla ya kupelekwa hospital ya Rufaa Mkoa wa Katavi huku Mganga Mkuu wa Halmashauri hiyo Martin Lohay akithibitisha kumpokea akiwa na majeraha.
Pia soma
Hata Uber caji ?JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Hata ua jiHata Uber caji ?