DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Sativa ambaye pia aliwahi kutekwa na watu wasiojulikana, Anaona kuwa intelijensia inatumiwa dhidi ya CHADEMA badala ya kulinda wananchi. Sativa pia amesema utekaji wa raia unaoendelea na kusema wananchi hawana kinga halisi kwenye maisha yao licha ya haki zao za kikatiba.
Fikiria jeshi la polisi kibaha liliokota miili ya vijana wanne wenye umri wa miaka 19 na 21, halafu wanasema walikuwa boda boda bila kusema chanzo halisi cha vifo vyao this is very painfull, lakini alipouawa polisi Pale Arusha wauaji walikamatwa how?.
Kwa kifupi, ujumbe ni kikomo cha kutoaminiana kati ya wananchi na vyombo vya usalama, na mlio wa kero kwa ukosefu wa uwajibikaji wa polisi na intelijensia.
Pia Soma:

- Sativa: Nilitekwa na Jeshi la Polisi wakiwa na lengo la kuniua, hata nikipotea kesho Jeshi la Polisi litakuwa limehusika
- Faustine Mafwele aliyetuhumiwa kumteka Sativa kupandishwa cheo kuwa Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar?