Haya mambo tulikuwaga tukiyasoma tu kwenye magazeti wakati wa utawala wa yule Nduli Iddi Amini huko Uganda.
Yana mwisho, mwisho wa siku wakati unakata roho utakuwa peke yako kitandani ukiwa na hofu kubwa kuhusu hatua yako na maisha baada ya kifo. Bora tu utende mema kama alivyoshauri mzee Rhuksa...Iddi Amin alikuwa na kitengo cha wavaa kaunda suit kilichokuwa kikiteka Waganda kikiitwa State Research Bureau.