Sativa225 (Edgar Mwakabela) kijana maarufu kwa kukosoa serikali X apatikana, baada ya kutekwa na ‘watu wasiojulikana’

Safari za 'Watekaji Trans' zimezinduliwa Tena upya
 
Wazee wakazi nao hawako vibaya.

Darasa wimbo unaitwa sio mbaya
 
Amekosoa nini na wapi? Kwenye mtandao au mkutano wa hadhara?
 
Watu wanazingua aisee, JPM amekufa mwaka wa tatu huu lkn bado wanamtuhumu kwa haya mabaya yanayoendelea hapo ndio utajua tatizo sio JPM bali ni matatizo ya akili zao.
Aliyekufa ni JPM peke yake lakini watekaji, watesaji na wauaji bado wapo hai, hawajafa. Kwanza isitoshe, JPM alikuwa hazunguki mitaani na 'Noah Nyeusi' ya Watekaji kwa ajili ya kuteka watu, bali yeye alikuwa anatoa maagizo tu kwa ajili ya kutekelezwa.
 
Muda mwingine mambo ya kumwachia Mungu tuyaache. Unaona bora kwenda hata kuroga kuzazi chote cha hao waliomfanyia hivo.
 
Awamu hii anayetoa maagizo n nan
 
Vanity of vanities; all is vanity. The pointlessness of human activities. Ubati juu ya ubatili na kujilisha upepo pasipokuwa na faida.

Unapigwa, unang'olewa meno, kucha na kudhalilishwa, halafu, unapata nini at the end of the day? NOTHING!

Mkuu Edgar Mwakabela bora ungepambana kuitangaza INJILI mwisho wa siku ungepata urithi wa Ufalme wa MUNGU, wenye faida kubwa kuliko kitu chochote.

By the way, pole sana kwa yaliyokukuta.
 
Kwa kiasi fulani wamefanikiwa na hawawezi kusema walichofanywa. Si ajabu hata yule bosi sabuni wa simba walimnanii alivyopotea.
Halafu unawaona mchana kutwa na usiku kucha wahusika watekelezaji wa madhila hayo kazi yao ni kuwasema vibaya Watu wengine wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja, wakati huo huo wao binafsi ni washirika wakubwa wa vitendo hivyo.
 
Halafu unawaona mchana kutwa na usiku kucha wahusika watekelezaji wa madhila hayo kazi yao ni kuwasema vibaya Watu wengine wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja, wakati huo huo wao binafsi ni washirika wakubwa wa vitendo hivyo.
Ndio wenye mamlaka mkuu, kisu wameshika kwenye mpini sisi kwenye makali.
 
Huyo kafumaniwa na mke wa mtu na sio kutekwa
 
Kutekana na kutesana ni UHUNI WA KISHAMBA hu uhuni ipo siku utaisha tu na wanao husika ni ile idara ya kusifu chama cha kijani
Unao ushahidi na hayo uliyoandika?

Sitetei uovu kwenye jamii, lakini, tunao ushahidi kuwa watekaji ni wa chama fulani?

Watu wengine wanachukua wake za watu, halafu, yanawakuta ya kuwakuta, tunakimbilia kusema wametekwa kwa sababu za kuikosoa Serikali. Huu ni mfano tu, sina ushahidi kama jamaa alifanya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…