Sativa225 (Edgar Mwakabela) kijana maarufu kwa kukosoa serikali X apatikana, baada ya kutekwa na ‘watu wasiojulikana’

Sativa225 (Edgar Mwakabela) kijana maarufu kwa kukosoa serikali X apatikana, baada ya kutekwa na ‘watu wasiojulikana’

Siku yake ilifika kama ambavyo siku za wengine zinavofika, yule aliyekalia kiti cha chama miaka yote ikifika siku yake cjui mtamsingizia nan amemuua
Yote kwa yote amebakia kuwa stori tu au muombeni Gwajiboy amfufue.
 
Wakuu Salama,

Sativa amekuwa akitafutwa toka weekend (Jumapili - 23/6/2024), baada ya ndugu zake kumtafuta bila mafanikio.

Watetezi wa haki za binadamu wamepiga kelele kuhusu hili hata mmojawapo wa viongozi wa ACT Wazalendo Rahma Mwita alizungumza suala hili kwenye kwenye XSpaces jana 26/6/2024 kuwa yupo tayari kujitolea muda wake kuambatana na ndugu wa kijana huyo kwenda kwenye vyombo vya habari na asasi mbalimbali za kiraia kupaza sauti kuhusu kupotea kwa kijana huyu.

Edgar anaishi Mbezi kwa Msuguli na amepatikana katika Hifadhi ya Katavi akiwa amepigwa sana, hali yake ikiwa si nzuri.


Kama kelele zisingepigwa huyu ndio ilikuwa ntolee, halafu kuna chawa wanaotetea ujinga kila siku.

Aisee, wakati wa kubadilika ni sasa, mtu akipotea wote tupige kelele, serikali ikienda kushoto wote tupige kelele. Isiwe kazi ya wanaharakati wachache au watetezi wa haki za binadamu, peke yao hawawezi. Tukiungana wote tunakuwa na nguvu.

Tuendeleze hashtag Wakuu, #KataaMachawa #KataaUozo2025, amsha kila utakayeweza kumuasha, tushikamane na kuteteana wakati wote kuleta uwajibikaji nchini.
Machawa wamefikia huku?
Hawa hata sio Polisi waliofanya hivi. Ni genge la Machawa tu na mafisadi
 
Hivi mwanaume unawezaje kusimamisha dushe kwa mwanaume mwenzako?

Mimi naamini hao wanaofanya michezo hiyo wameshafirika sana sasa wanalipiza kwa innocent people.
Hao wahuni ipo siku yao . kidume kinapata hisia kwa mwanaume mwezie hata wanyama wameshindwa kufanya kitendo hicho .
 
yaani mtu hata akwa na matatizo yake binafsi mnasema mkosoaji katekwa sasa dawa ya hii kitu ajitokeze hazarani aseme alikuwa wapi na aliambiwa nini huko ili tujuwe kama kweli alitekwa sababu ya ukosoaji bila hivyo huyo ni mharifu tu kama wahalifu wengine
Fyah fi a man wey se'dung inna
Babylon throne.
 
Watu wameajiriwa kwa ajili ya hy kazi afu ww unakuja kusema ety wameshafirika? Hao n wazima kabisa ila wanawafanyia hvy mana n kazi yao, sasa siku utekwe ndio utajua vzr
Ni machoko tu tena unakuta wanalipwa pesa ya kimbuzi.

Wale wanaokodiwa kuua unadhani hata wanalipwa hela nyingi?
Basi tu lakini Mungu yupo Tanzania huwa anatulipia Kisasi na tumeshaona sana
 
Binafsi ingelikuwa mimi ndio huyo jamaa....na nimepatikana nikiwa hai! Baada ya kujiuguza ningehakikisha napiga albadiri moja takatifu ..naua kila aliyehusika na kuniteka mmmmaaae
Labla tuanze kujiuliza hao wengine kabla yake hawana akili hiyo?
 
Pole kwa mwamba ...ila tunamuombea kwa Mungu wasije wakawa wamemvua ubingwa mshkaji. Bora upigwe ufe kuliko kufirwa ...dah
 
..lakini si wana-fi-ra wakosoaji wa Ccm?

..maana yake Ccm imeajiri wa-fi-raji.

..yaani hiki chama cha huyu tunayemuita MAMA ndani yake kuna genge la wa-fi-raji.

..basi sasa tuko kwenye 4R+ F [ i.r.a ].
Sijui 😂
 
Back
Top Bottom