Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yote kwa yote amebakia kuwa stori tu au muombeni Gwajiboy amfufue.Siku yake ilifika kama ambavyo siku za wengine zinavofika, yule aliyekalia kiti cha chama miaka yote ikifika siku yake cjui mtamsingizia nan amemuua
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavuDenmark and the like countries, kuna kiongozi katili? Akili za CCM utazijua tu
Machawa wamefikia huku?Wakuu Salama,
Sativa amekuwa akitafutwa toka weekend (Jumapili - 23/6/2024), baada ya ndugu zake kumtafuta bila mafanikio.
Watetezi wa haki za binadamu wamepiga kelele kuhusu hili hata mmojawapo wa viongozi wa ACT Wazalendo Rahma Mwita alizungumza suala hili kwenye kwenye XSpaces jana 26/6/2024 kuwa yupo tayari kujitolea muda wake kuambatana na ndugu wa kijana huyo kwenda kwenye vyombo vya habari na asasi mbalimbali za kiraia kupaza sauti kuhusu kupotea kwa kijana huyu.
Edgar anaishi Mbezi kwa Msuguli na amepatikana katika Hifadhi ya Katavi akiwa amepigwa sana, hali yake ikiwa si nzuri.
Kama kelele zisingepigwa huyu ndio ilikuwa ntolee, halafu kuna chawa wanaotetea ujinga kila siku.
Aisee, wakati wa kubadilika ni sasa, mtu akipotea wote tupige kelele, serikali ikienda kushoto wote tupige kelele. Isiwe kazi ya wanaharakati wachache au watetezi wa haki za binadamu, peke yao hawawezi. Tukiungana wote tunakuwa na nguvu.
Tuendeleze hashtag Wakuu, #KataaMachawa #KataaUozo2025, amsha kila utakayeweza kumuasha, tushikamane na kuteteana wakati wote kuleta uwajibikaji nchini.
Hakuna mahali nimesema hvy..wameajiriwa na Ccm?🙆🏿♂️
Hao wahuni ipo siku yao . kidume kinapata hisia kwa mwanaume mwezie hata wanyama wameshindwa kufanya kitendo hicho .Hivi mwanaume unawezaje kusimamisha dushe kwa mwanaume mwenzako?
Mimi naamini hao wanaofanya michezo hiyo wameshafirika sana sasa wanalipiza kwa innocent people.
Na nyie mtaendelea kulalamika sana kwenye kila awamuYote kwa yote amebakia kuwa stori tu au muombeni Gwajiboy amfufue.
Kwani anakosoa nini?Mwamba mara ya mwisho kuonekana alikuwa Dar maeneo Coco Beach kaja kupatikana Katavi
Fyah fi a man wey se'dung innayaani mtu hata akwa na matatizo yake binafsi mnasema mkosoaji katekwa sasa dawa ya hii kitu ajitokeze hazarani aseme alikuwa wapi na aliambiwa nini huko ili tujuwe kama kweli alitekwa sababu ya ukosoaji bila hivyo huyo ni mharifu tu kama wahalifu wengine
Uzuri tunayolalamikia yanatuumiza wote bila kubagua, kwani kama ni maduka na masoko wote tunakwenda pamoja.Na nyie mtaendelea kulalamika sana kwenye kila awamu
Kisasi ni haki au Sativa ni muumini wa ukipigwa shavu la kushoto unageuza na la kulia?Ndugu wa sativa suala hili kalimalizeni kimila huko Mbeya ndio mtalipiza , kitendo alichofanyiwa ndugu yenu sio poa .
Ni machoko tu tena unakuta wanalipwa pesa ya kimbuzi.Watu wameajiriwa kwa ajili ya hy kazi afu ww unakuja kusema ety wameshafirika? Hao n wazima kabisa ila wanawafanyia hvy mana n kazi yao, sasa siku utekwe ndio utajua vzr
Hakuna mahali nimesema hvy
Labla tuanze kujiuliza hao wengine kabla yake hawana akili hiyo?Binafsi ingelikuwa mimi ndio huyo jamaa....na nimepatikana nikiwa hai! Baada ya kujiuguza ningehakikisha napiga albadiri moja takatifu ..naua kila aliyehusika na kuniteka mmmmaaae
Jino kwa jino ndiyo mpango mzimaKisasi ni haki au Sativa ni muumini wa ukipigwa shavu la kushoto unageuza na la kulia?
Sijui 😂..lakini si wana-fi-ra wakosoaji wa Ccm?
..maana yake Ccm imeajiri wa-fi-raji.
..yaani hiki chama cha huyu tunayemuita MAMA ndani yake kuna genge la wa-fi-raji.
..basi sasa tuko kwenye 4R+ F [ i.r.a ].