Sativa225 (Edgar Mwakabela) kijana maarufu kwa kukosoa serikali X apatikana, baada ya kutekwa na ‘watu wasiojulikana’

Kutukana ndio wampige risasi ya kichwa si kuna mahakama na sheria ya mtandao ipo.
tunachoweza kukiona ni KUTUKANA TU....!
Lakini tukumbuke kuwa mtu anapoishi kuna mengi yanayomzunguka..... KUTUKANANA, KUDHULIMIANA, KUCHUKUA WAKE ZA WATU na kadhalika.......

Kuna maisha ya KAMARI (kubet) ambapo kuna kula na kuliwa, na bado ukamletea dharau na kebehi ULIYEMLA

(Kwanini tunajifungia fikra zetu kufikiri nje ya boksi)
 
Kwamba raia wa kawaida anaweza akakuteka akakupeleka karakana ya polisi, akakutoa akakusafirisha na kupita check point zote mpaka katavi na kukutupa polini,

Acha kujifyatua akila, hizo kauli za nje ya box uwa ni za kijinga
 
Kwamba raia wa kawaida anaweza akakuteka akakupeleka karakana ya polisi, akakutoa akakusafirisha na kupita check point zote mpaka katavi na kukutupa polini,

Acha kujifyatua akila, hizo kauli za nje ya box uwa ni za kijinga
NAKUPONGEZA
(pale ambapo tunajielekeza upande mmoja , tunampa nafasi na uhuru zaidi mtenda kosa la utekaji na kutuona wote MBULULAZ) kwani hatutoweza kumbaini.........! hivi mwisho wa siku watekaji wake wakabainika (MFANO: MUME WA MTU AMBAYE ALIKUWA ANAMTUHUMU MTEKWAJI KUTEMBEA NA MKE WAKE........ HIZI KOMENT ZETU ZOTE ZITAENDELEA KUBAKI VILE VILE?????????)
 
Kiongozi acha kujitoa akili kuna MGONI anapelekwa kwenye karakana la jeshi la polisi , nyie mmekunya nje tokeni mkazoe .
 
Hapo kashatoboa Usa wanampa uraia fasta anachotakiwa aende tu na evidence
 
Kiongozi acha kujitoa akili kuna MGONI anapelekwa kwenye karakana la jeshi la polisi , nyie mmekunya nje tokeni mkazoe .
je Kuna KANUNI ya mlipizaji kisasi apite wapi na wapi?
 
View attachment 3027887

kwa MATUSI haya.......! bado mnasema kuna NGO ama WIZARA imehusika????? hivi ndo mtu wa kumuonea huruma tena na mchango juu??????
Huyu Dogo ameshatoboa hapo Uraia wa Marekani na nchi za E.U upo nje nje kama ana bachelor akienda anongezea masters huko ameshatoboa. Anatakiwa tu apate watu wa kumuongoza.
 
Hivi hamna uwezekano waliomteka wamempa picha la yupo karakana ya polisi oysterbay.
Okay inawezekana kapelekwa. Lakini karakana hilo naamini linaweza tumika na individual staff, bila watu wengi kufahamu. Aliyelitumia anauwezo wakufanya chchte hapo kama kuhifadhi na kumtoa mtu.
Lastly, vijana twitter waache kebehi na matusi. Mbona JF matusi nadra sana. Na kuna watu wengi tu pia. Mtanzania ana hasira mbaya sana ukimdharau. Unajiweza hujiwezi heshimu watu.
 
Mwenye post akionesha kuwa anaikosoa serikali anioneshe hiyo post..

Huyo jamaa namjuaga kwenye ishu za kubet tu..
 
Tuacheni serikali ifanye kazi yake
 
FORMULA YA KIMUUNGU NI KWAMBA AUAYE KWA UPANGA ATAKUFA KWA UPANGA
 
Wewe nae unahitaji sala ya ukombozi kwa haya unayoandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…