Sativa225 (Edgar Mwakabela) kijana maarufu kwa kukosoa serikali X apatikana, baada ya kutekwa na ‘watu wasiojulikana’

yaani mtu hata akwa na matatizo yake binafsi mnasema mkosoaji katekwa sasa dawa ya hii kitu ajitokeze hazarani aseme alikuwa wapi na aliambiwa nini huko ili tujuwe kama kweli alitekwa sababu ya ukosoaji bila hivyo huyo ni mharifu tu kama wahalifu wengine
Kesha sema alipelekwa oysterbay police akachukuliwa na watu wasiojulikana,,

Hivi mtu akufumanie na mkewe akupeleke police halafu kesho yake akusafirishe 600 kilometres ili atekeleze mauaji?
 
Kumbe wewe nae ni bogus tu
1719534227621.png

Yaani tunaongea kwa hoja, halafu atokee mtu ANITUKANE.......!!!!!
Wakati tunawatetea WAOVU tusihamishe magoli, kila mtu ana kiwango cha ustahimilivu......... SASA HAPO NDUGU YENU "AMEKOSOA" au "AMETUKANA"??????
Ifike mahali tuonyooshe kidole cha haki..........
 
Naumia sana kuona bado tuna vijana wajinga nchini,

1. Kutukana matusi ni kosa, lakini zipo mamlaka husika anapo stahili kupelekwa.

2. Huwezi kusonga mbele pasipo wakosoaji ni haki yao kikatiba/sheria

Hili swala la kushabikia matumizi ya nguvu kwa raia mmoja mmoja et kisa kakosea au ni mpinzani au sababu kakosoa sio sahihi kabisa.

Wazee wanasema vituko vya mwenda wazimu (kichaa) sokoni huchekesha kama hatokei familia yenu.

Natamani kuiona Tanzania yenye amani na utulivu, yenye sera za kidiplomasia na yenye kuongozwa na misingi ya sheria yenye viongozi walio tayari kusimamia Matakwa ya watanzania,
 
View attachment 3027885
Yaani tunaongea kwa hoja, halafu atokee mtu ANITUKANE.......!!!!!
Wakati tunawatetea WAOVU tusihamishe magoli, kila mtu ana kiwango cha ustahimilivu......... SASA HAPO NDUGU YENU "AMEKOSOA" au "AMETUKANA"??????
Ifike mahali tuonyooshe kidole cha haki..........
Najiuliza tu maswali kama nipo salama katika nchi yangu?

Naomba nikubaliane na wewe hapo juu kua wote tunaona kuwa hii post alie tukana kakosea.

Haya hapo juu kuna mchangiaji katoa taarifa kuwa jamaa alipelekwa police right?

Swali langu ukienda police kufunguliwa mashtaka lazima utoke kwa dhamana otherwise umepelekwa mahakamani then utaandikiwa maelezo yanayo husiana na kesi yako Kisha utaendelea na suala la kisheria,

Mambo muhimu yanayo hitajika katika dhamana ni taarifa za mzamini, mtuhumiwa etc so who did that?

Haya akati wenzake wameanza kumtafuta walitoa taarifa police walijibiwa nini? Inamaana taarifa za jamaa hazikuwepo kwenye vyombo vya usalama?

Kuna alie juu ya katiba/sheria ? Kwani ni Sawa mtuhumiwa kwenda kupewa adhabu nje ya mahakama?
 
wapo "WAHUNI" wanaoweza kukuchukua na kukupeleka mahali fulani ili fikra zako zijiambatanishe kuwa watu hao ni wahusika wa hapo (kumbuka sehemu inayotajwa ni kwenye magari mabovu yaliyopata ajali) hata uende wapi umeshaona hao kuwa ni wahusika wa mahali husika

Hivi jamani hatujajua tu kuwa wapo MATAPELI kadhaa wanaojifanya WATUMISHI wa mahali tofauti .... na mtu akijaa ANAPIGWA PAREFU?
 
Hujasoma vizuri ukaelewa nilicho andika, narudia tena kama alienda kwenye vyombo vya usalama wakaja hao wahuni unao sema why ndugu na ja maa walipo enda kutoa taarifa hawakupewa haya majibu yako?

If imetokea kwake wewe na mimi tuna usalama kiasi gani?
 
KAKA/DADA
Huenda kweli sijasoma "vizuri" lakini nakukumbusha...... YEYE MWENYEWE ANAJUA KUWA HAKWENDA KITUO CHA POLISI
kuna KITUO CHA POLISI...... na kuna MAENEO YA KITUO CHA POLISI........
 
Ni KAKA nakujibu kistaarabu a hekima tu.

Tuliachie jeshi lifanye kazi yake
 
Back
Top Bottom