kimbomba25
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 1,160
- 2,117
Jibu swali la msingi, mdogo wangu.Tangu mama yako afumaniwe basi unadhani kila mtu akipata matatizo anakuwa amefumaniwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu swali la msingi, mdogo wangu.Tangu mama yako afumaniwe basi unadhani kila mtu akipata matatizo anakuwa amefumaniwa.
Sijui kwanini wanafanya hivyo, ukishatekwa na wasiojulikana ujue kuna namna inafanyika na hakuna anaesema.Ukikitana na Mtanzania anaipinga CCM na serikali yake basi ujue huyo tayari yupo kwenye list ya mashoga watarajiwa.
Maana wameona hiyo ndiyo namna ya kuwatisha na kuwazima watu
Inasikitisha sana, ndio maana ni ngumu sana kufanya mabadiliko hapa kwetu.Yule mtu mkubwa huwenda alipigwa vibao tu, ila vijana machachali kama hawa ni sekunde kuwafanyia mchezo mchafu...
yaani mtu hata akwa na matatizo yake binafsi mnasema mkosoaji katekwa sasa dawa ya hii kitu ajitokeze hazarani aseme alikuwa wapi na aliambiwa nini huko ili tujuwe kama kweli alitekwa sababu ya ukosoaji bila hivyo huyo ni mharifu tu kama wahalifu wengine
Yani mwongozo unaopewa huko na somo lake sio poaSijui kwanini wanafanya hivyo, ukishatekwa na wasiojulikana ujue kuna namna inafanyika na hakuna anaesema.
Bantu Lady usiseme sikukwambia unaona mwenzio hatimae alikua anapelekwa kwenda kusalimiana na Chatu na Wewe fanya fyoko Hawa hapa mlangoni kwako wapite na Wewe utafutwe ukutwe Mbugani huko unapambana na Uhai wako peke yakoEdgar anaishi Mbezi kwa Msuguli na amepatikana katika Hifadhi ya Katavi akiwa amepigwa sana, hali yake ikiwa si nzuri.
Nikipelekwa kwa Chatu utakua na Mimi au nitakua peke yangu?Tukiungana wote tunakuwa na nguvu.
Unapelekwa ukamsalimie Anko Chatu sasa wewe jaribu usirudiSijui kwanini wanafanya hivyo, ukishatekwa na wasiojulikana ujue kuna namna inafanyika na hakuna anaesema.
Na Wewe ukilianzisha utajikuta upo Gombe hata hujui umefikaje mbele ya Chatu mwenye njaa, tuache tu Mambo yaende km yanavyoenda kwani umechoka kula Ugali unataka kuliwa?Acheni uhuni wa kuteka watu,.
Ni ushamba
Dr. Ulimboka.Yule dr, aliyeongoza mgomo wa madaktari... Jina limenitoka.
Umemsahau yule dr, aliyeKumbe mwakyembe alinyofolewa meno?
Yes, yes, ulimboka.Dr. Ulimboka.
Yule bwana walimng'oa kucha, meno na plise
Msiba huanza na wafiwa,Mimi ndio kwanza namsikia baada ya hizi.kelele zenu sijui hata huko Twitter alikuwa anakosoje.Wakuu Salama,
Sativa amekuwa akitafutwa toka weekend (Jumapili - 23/6/2024), baada ya ndugu zake kumtafuta bila mafanikio.
Watetezi wa haki za binadamu wamepiga kelele kuhusu hili hata mmojawapo wa viongozi wa ACT Wazalendo Rahma Mwita alizungumza suala hili kwenye kwenye XSpaces jana 26/6/2024 kuwa yupo tayari kujitolea muda wake kuambatana na ndugu wa kijana huyo kwenda kwenye vyombo vya habari na asasi mbalimbali za kiraia kupaza sauti kuhusu kupotea kwa kijana huyu.
Edgar anaishi Mbezi kwa Msuguli na amepatikana katika Hifadhi ya Katavi akiwa amepigwa sana, hali yake ikiwa si nzuri.
Kama kelele zisingepigwa huyu ndio ilikuwa ntolee, halafu kuna chawa wanaotetea ujinga kila siku.
Kauli ya Mwenyekiti wa UVCCM Kagera kuhusu kuwapoteza watu soma hapa: Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute
Aisee, wakati wa kubadilika ni sasa, mtu akipotea wote tupige kelele, serikali ikienda kushoto wote tupige kelele. Isiwe kazi ya wanaharakati wachache au watetezi wa haki za binadamu, peke yao hawawezi. Tukiungana wote tunakuwa na nguvu.
Tuendeleze hashtag Wakuu, #KataaMachawa #KataaUozo2025, amsha kila utakayeweza kumuasha, tushikamane na kuteteana wakati wote kuleta uwajibikaji nchini.
Usitukane usiowajua mtandaoni especially ukiwa hautumii fake ID utanishukurukarma is going to f*ck them back
Huyu hapa anatema Cheche zake huko XMsiba huanza na wafiwa,Mimi ndio kwanza namsikia baada ya hizi.kelele zenu sijui hata huko Twitter alikuwa anakosoje.
Alikuwa chama gani?
Hadi Leo hii ni kimyaDr. Ulimboka.
Yule bwana walimng'oa kucha, meno na plise
Mbona alikuwa anatukana hovyo? Ngoja nimtafute nione posts zake zingineHuyu hapa anatema Cheche zake huko XView attachment 3027826
Unatukana alafu unaonyesha Sura?Mbona alikuwa anatukana hovyo? Ngoja nimtafute nione posts zake zingine
Alikuwa anatukana Viongozi tena matusi ya nguoni eti anamuiga Mdude,anatukana Kila mtu mwenye maoni tofauti na anasambaza taarifa za mgomo.Unatukana alafu unaonyesha Sura?