mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Kesha sema alipelekwa oysterbay police akachukuliwa na watu wasiojulikana,,yaani mtu hata akwa na matatizo yake binafsi mnasema mkosoaji katekwa sasa dawa ya hii kitu ajitokeze hazarani aseme alikuwa wapi na aliambiwa nini huko ili tujuwe kama kweli alitekwa sababu ya ukosoaji bila hivyo huyo ni mharifu tu kama wahalifu wengine
Hivi mtu akufumanie na mkewe akupeleke police halafu kesho yake akusafirishe 600 kilometres ili atekeleze mauaji?