Vp atakuwa amefufuka nn, Si mlisema mamaenu hana mambo hayo?Kumekucha tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp atakuwa amefufuka nn, Si mlisema mamaenu hana mambo hayo?Kumekucha tena
Hakunaga Kiongozi asiye katili dunianiKwa ukatili wake.
basi asiposema ukweli sisi hatuwezi kumuanmini kama kweli alitekwa kuna mtu alishawahi kusemekana katekwa kumbe yupo tabata kwa mwanamke tena diwaniwakitokaga huko huwa hawasemi, wanakimbia tu nchi!ref Dr Ulimboka na Roma Mkatoliki!aliesema ni Mdude tu
Wamempiga kweli , mida kidogo video zake zitaanza kusambaaMasuala ya kujuana juana sana kwenye mitandao ya kijamii ni ku jiweka kwenye hatari nyingi sana. Pole kwake
Inasikitisha sanaWamempiga kweli , mida kidogo video zake zitaanza kusambaa
Hapo wanapanga kumpelekw police kwanza kabla ya kumfikisha hospitali!Dunia ya sasa hovyo sana, mtu kaumia badala yakumpa msaada wa dharura alafu ndio ahojiwe baadae akiwa mzima, hivi kwanini watu weuzi huwa hawawezi kujifunza vitu vidogo hata kwawatu weupe?
Tulisema tangu awali kwamba ukitaka kujua aina ya siasa anazojiandaa kwenda nazo mama yenu basi msimsikilize anachokihubiri bali angalieni aina ya watu anaowachagua. Alipomrudisha Bashite pale ndiyo alikua ametuma ujumbe wa ni aina gani ya uongozi na siasa watu wazitarajie kutoka kwake.Wakuu Salama,
Sativa amekuwa akitafutwa toka weekend (Jumapili - 23/6/2024), baada ya ndugu zake kumtafuta bila mafanikio.
Watetezi wa haki za binadamu wamepiga kelele kuhusu hili hata mmojawapo wa viongozi wa ACT Wazalendo Rahma Mwita alizungumza suala hili kwenye kwenye XSpaces jana 26/6/2024 kuwa yupo tayari kujiyolea muda wake kuambatana na ndugu wa kijana huyo kwenda kwenye vyombo vya habari na asasi mbalimbali za kiraia kupaza sauti kuhusu kupotea kwa kijana huyu.
Edgar anaishi Kimara kwa Msuguli na amepatikana katika Hifadhi ya Katavi akiwa amepigwa sana, hali yake ikiwa si nzuri.
Kama kelele zisingepigwa huyu ndio ilikuwa ntolee, halafu kuna chawa wanaotetea ujinga kila siku.
Aisee, wakati wa kubadilika ni sasa, mtu akipotea wote tupige kelele, serikali ikienda kushoto wote tupige kelele. Isiwe kazi ya wanaharakati wachache au watetezi wa haki za binadamu, peke yao hawawezi. Tukiungana wote tunakuwa na nguvu.
Tuendeleze hashtag Wakuu, #KataaMachawa #KataaUozo2025, amsha kila utakayeweza kumuasha, tushikamane na kuteteana wakati wote kuleta uwajibikaji nchini.
Halafu kuna mamlaka zinajinasibu zinapinga ushoga huku zikiuendeleza kwa vitendo. Walaaniwe wote wanaofanya huo uchafu.Hawajamnanii kweli