Sato bei poa kulingana na uzito

Sato bei poa kulingana na uzito

Joined
Jun 8, 2021
Posts
31
Reaction score
43
Tunauza samaki bei poa kabisa kulingana na uzito unaonunua. Kwa mfano ukinunua; 0-2kg = tsh10,000/-, 3-5kg = tsh9,600/-, 6-9kg =tsh9,400/-, 10-14kg = tsh9,200/-, n.k. kama ilivyoambataanishwa katika jedwali.

Tupo: Afrika Sana Sokoni - Kushoto Mara tu baada ya kupinda kona unapotokea Mabatini kuelekea mataa ya Afrika Sana.

Karibuni.
 
Nahitaji 0kg. Naipataje
 
Hizo samaki zimekuwa zimekaa Sana toka kuvuliwa,Tena inasemekana dawa ya kuhifadhia maiti ndiyo huwawekea hao Sato ili wasihalibike.
 
Afrika sana, mtaa wa mabatini Jijini New York?!! kazi ipo
 
Hizo samaki zimekuwa zimekaa Sana toka kuvuliwa,Tena inasemekana dawa ya kuhifadhia maiti ndiyo huwawekea hao Sato ili wasihalibike.

Ni vizuri uwe na uhakika na jambo unalosema mkuu kuliko kuongea vitu vya nadharia (inasemekana) tena uongo mkubwa kutoa lugha chafu kwa vyakula vinavyotumiwa na wengi wetu hapa nchini na nje ya nchi.
 
Endelea kutangaza na kuwajibu wahitaji si unajua Wabongo tuna roho za kwa nini kisa umetangaza ila zikiwa sokoni ni salama...na pia Elimu ni tatizo la wengi na exposure kila atakachosikia atumii akili kupata jibu sahihi...samaki wanauzwa hadi nje ya Nchi ila kuuzwa Afrika sana watunzwe na sumu[emoji1][emoji1]
 
Asante mkuu.
 
Back
Top Bottom