TANMO
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 11,763
- 11,873
Hizi tuhuma ni nzito mno mkuu. Binafsi nilitarajia ungejibu tuhuma kwa Hoja zinazoshawishi badala tu ya kushutumu kama ulivyofanya. Mambo mengi huanza kwa kusemekana kabla hayajathibitishwa..Ni vizuri uwe na uhakika na jambo unalosema mkuu kuliko kuongea vitu vya nadharia (inasemekana) tena uongo mkubwa kutoa lugha chafu kwa vyakula vinavyotumiwa na wengi wetu hapa nchini na nje ya nchi.