Nyakyegi Wazigizigi
Member
- Jun 8, 2021
- 31
- 43
Nahitaji 0kg. NaipatajeTunauza samaki bei poa kabisa kulingana na uzito unaonunua. Kwa mfano ukinunua; 0-2kg = tsh10,000/-, 3-5kg = tsh9,600/-, 6-9kg =tsh9,400/-, 10-14kg = tsh9,200/-, n.k. kama ilivyoambataanishwa katika jedwali.
Tupo: Afrika Sana Sokoni - Kushoto Mara tu baada ya kupinda kona unapotokea Mabatini kuelekea mataa ya Afrika Sana.
Karibuni.
Hizo samaki zimekuwa zimekaa Sana toka kuvuliwa,Tena inasemekana dawa ya kuhifadhia maiti ndiyo huwawekea hao Sato ili wasihalibike.Tunauza samaki bei poa kabisa kulingana na uzito unaonunua. Kwa mfano ukinunua; 0-2kg = tsh10,000/-, 3-5kg = tsh9,600/-, 6-9kg =tsh9,400/-, 10-14kg = tsh9,200/-, n.k. kama ilivyoambataanishwa katika jedwali.
Tupo: Afrika Sana Sokoni - Kushoto Mara tu baada ya kupinda kona unapotokea Mabatini kuelekea mataa ya Afrika Sana.
Karibuni.
Afrika sana, mtaa wa mabatini Jijini New York?!! kazi ipoTunauza samaki bei poa kabisa kulingana na uzito unaonunua. Kwa mfano ukinunua; 0-2kg = tsh10,000/-, 3-5kg = tsh9,600/-, 6-9kg =tsh9,400/-, 10-14kg = tsh9,200/-, n.k. kama ilivyoambataanishwa katika jedwali.
Tupo: Afrika Sana Sokoni - Kushoto Mara tu baada ya kupinda kona unapotokea Mabatini kuelekea mataa ya Afrika Sana.
Karibuni.
Hizo samaki zimekuwa zimekaa Sana toka kuvuliwa,Tena inasemekana dawa ya kuhifadhia maiti ndiyo huwawekea hao Sato ili wasihalibike.
Bei ni nzuri sana
Upo wapi mkuu?
Nahitaji 0kg. Naipataje
Endelea kutangaza na kuwajibu wahitaji si unajua Wabongo tuna roho za kwa nini kisa umetangaza ila zikiwa sokoni ni salama...na pia Elimu ni tatizo la wengi na exposure kila atakachosikia atumii akili kupata jibu sahihi...samaki wanauzwa hadi nje ya Nchi ila kuuzwa Afrika sana watunzwe na sumu[emoji1][emoji1]Ni vizuri uwe na uhakika na jambo unalosema mkuu kuliko kuongea vitu vya nadharia (inasemekana) tena uongo mkubwa kutoa lugha chafu kwa vyakula vinavyotumiwa na wengi wetu hapa nchini na nje ya nchi.
Tupo Dar es Salaam, Kiongozi.Iko wilaya, na mkoa gani hiyo kamilisha tangazo lako kiongozi
Tupo Kinondoni, mkoani Dar es Salaam.Iko wilaya, na mkoa gani hiyo kamilisha tangazo lako kiongozi
Endelea kutangaza na kuwajibu wahitaji si unajua Wabongo tuna roho za kwa nini kisa umetangaza ila zikiwa sokoni ni salama...na pia Elimu ni tatizo la wengi na exposure kila atakachosikia atumii akili kupata jibu sahihi...samaki wanauzwa hadi nje ya Nchi ila kuuzwa Afrika sana watunzwe na sumu[emoji1][emoji1]
Sorry, tuko mkoani Dar es Salaam, wilaya ya Kinondoni.Bei ni nzuri sana
Upo wapi mkuu?
Yule mzee alikuja na kila kioja hapa bongoland.Samaki kuuzwa kwa kupimwa kwa ruler bado inaendelea
Ova
Pamoja sana mkuu,nitakuungisha mzeeAfrika sana mkuu, karibu.