Hizi tuhuma ni nzito mno mkuu. Binafsi nilitarajia ungejibu tuhuma kwa Hoja zinazoshawishi badala tu ya kushutumu kama ulivyofanya. Mambo mengi huanza kwa kusemekana kabla hayajathibitishwa..Ni vizuri uwe na uhakika na jambo unalosema mkuu kuliko kuongea vitu vya nadharia (inasemekana) tena uongo mkubwa kutoa lugha chafu kwa vyakula vinavyotumiwa na wengi wetu hapa nchini na nje ya nchi.
Yaani utumie formalin kuhifadhia samaki, unaijua vizuri formalin au unaisikia......chunguzeni mambo, siyo kutegemea story za vijiweni...Hizo samaki zimekuwa zimekaa Sana toka kuvuliwa,Tena inasemekana dawa ya kuhifadhia maiti ndiyo huwawekea hao Sato ili wasihalibike.
Kilo 20 kwa 8,000/= naweza kupata
Kuanzia kilo ishirini na zaidi ni tsh 8,800/- kwa kilo. Usijali mkuu, soko likiwa poa tutashusha bei zaidi.
Hapana mkuu; 15-19kg (tsh 9000/-) na zaidi ya 20kg ni tsh 8,800/-. KaribuKilo 20 kwa 8,000/= naweza kupata