sato,perege,migebuka au vibua yupi anafaa kwa wali kwaajili ya mtoto mzuri

Changu ana ladha bwana acha tu, sato ukijua kumpika utamfaidi.

Sato huwa ninamtia tangawizi, thomu, limao, chumvi na pili pili ndiyo ninambanika na foil kabla sijapika mchuzi
Hawamjui changu hawa au hata mzia kwa mchuzi au chukuchuku haswaaa ni balaaa
 
Changu ana ladha bwana acha tu, sato ukijua kumpika utamfaidi.

Sato huwa ninamtia tangawizi, thomu, limao, chumvi na pili pili ndiyo ninambanika na foil kabla sijapika mchuzi
Oouh ndiyo maana huyu Mzed kila siku ananizidi unene eeeh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…