BAFA
JF-Expert Member
- Jul 19, 2011
- 3,059
- 5,930
Hawamjui changu hawa au hata mzia kwa mchuzi au chukuchuku haswaaa ni balaaaChangu ana ladha bwana acha tu, sato ukijua kumpika utamfaidi.
Sato huwa ninamtia tangawizi, thomu, limao, chumvi na pili pili ndiyo ninambanika na foil kabla sijapika mchuzi