sato,perege,migebuka au vibua yupi anafaa kwa wali kwaajili ya mtoto mzuri

sato,perege,migebuka au vibua yupi anafaa kwa wali kwaajili ya mtoto mzuri

Kaanga Sato , kisha muunge vizuri ikiwezekana Dondoshea na Royco mchuzi mix+ Nazi .
Nyanya ,usizisage bali zikatekate ndo zikiwa kwa moto unakaanga Ndo uzipondeponde


Mwanangu ,chuzi linakua zitoooooooooo.


Mind you , mwanamke anapokua amekula nakushiba ndo anakua mwepesi katka kurespond Romantic Stimulus!!


So hapo mzee baba, umecheza karata unono!!
 
Back
Top Bottom