Saturday battle: Everlyn Salt vs Miss Natafuta

Okay next time usitishie kujamba kumbe unaharisha, najua uharo wote ni ile thread ukijihisi nakusema wewe kabla ya kujishtukia kama unaoga unaoga nje pata uhakika kwanza
Khakhaakhaaaaa Nacheka kwa dhaaaaraau mweeh!

Nilikupa kura ya kuwashwa si umeona umevowashwa???
Afu nijambe kwa kumwogopa nani labda???

Kelele za chura hizo....

Cc Smart911
 
Okay next time usitishie kujamba kumbe unaharisha, najua uharo wote ni ile thread ya couples ukijihisi nakusema wewe kabla ya kujishtukia kama unaoga unaoga nje pata uhakika kwanza
Shoga haya tuondoke huku twenzetu kwa wakubwa [emoji188][emoji188][emoji188]

Zimpite na mbele na nyuma
 
Umevurugwa wewe sio bure. Halafu Usinipangie cha kuandika wewe [emoji118] [emoji118] [emoji118] [emoji118] [emoji118] [emoji118]

Uliyosema yote upo sawa. Kuna tatizo jingine tofauti na hilo labda!??

Cc Smart911

Usijari soon nawaweka hapa nipate maoni yenu
 
Mm Zaidi shem. Najua pia unamis kitu ya Arusha. Ukiona unashindwa kuvumilia niambie nitakutumia shem[emoji85]

Jesus is my saviour and a friend
Wewe utakitoa wapi ? Labda nitumiwe kisha nikutumie ndiyo unitumie
 
Koh koh koh.
Etiiii nini vile...
Mbona kama Battle imechange sasa???
Etiiiiiiiiiiii???????
Kwani sh ngapi??
Endeleeni tupeni faida wengine tuliokuwa hayujui kuhara na kuharisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio hivyo,ujue kuna wataalamu wa Kiki Duniani,wanapenda kuwa Center of attention.Wazee wa kubadili mada,wanapenda waongelewe wao,waonekane na wao wamo ilimradi shida tupu.Hata ukianzisha mada ya kuku na bata wakitokea wanataka wajadiliwe wao,ukiwajadili wanasema unawafwata fwata...utapiamlo tu wa akili.
 
Umevurugwa wewe sio bure. Halafu Usinipangie cha kuandika wewe [emoji118] [emoji118] [emoji118] [emoji118] [emoji118] [emoji118]

Uliyosema yote upo sawa. Kuna tatizo jingine tofauti na hilo labda!??

Cc Smart911
Ndo nishaweka screensht ili uendelee kujiharishia punda wewe, mwenyewe napenda ugomvi kuliko hata chakula.....

Ulianzishe mwenyewe afu uulize kuna tatizo nyooooo ulale na dole la kati huko punguani mkubwa we ni wa kuibiwa bwana na mie bwana mwenyewe hafiki hata mb 70 shwain
 
Bando lako tu.
Stay tuned.

Cc Smart911
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…