Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,359
- 4,528
[emoji2] UmeshindaUnawasha moto,ukiwaka unajiuliza imekuwaje moto umewaka unaanza kupambana nao kwa mikono!!
Unizae kwa uchi up labda???Nlikua sijui kama anapenda kuongelewa....
Sasa sijui hata nimuongelee kipi au hiyo tait kama mfuko?
Eti wanawake hatupendani mfyuuuu nimpende nimemzaa?
Mapenzi ya kutiana kwa watsapp[emoji23][emoji23] afu wivu wakakuonee jf,unakosa maadui mtaani unatafuta kinguvu mtandaoni.Tena mme mme kweli sio mme wa online
Kukupanga ilikuwa kipindi nakutongoza ila ukubwani sina la kukudanganya mimi yote tisa ila 10 your my weaknessUnanipanga eeh..
Mtu bado anajikojolea lakini akishika simu anajiona John Cena.Wapeleke balehe zao kwa wazazi wao
Mawasiliano yote pm.,mapenzi yote pm..kiki zote kwenye thread majukumu yameisha.Nalala mme ananingoja kitandani
We wako hapa ukimcc umemaliza
Ukinihitaji tena hapa nitarudi mahonda
Cc taahira wenzio
Good night
Sijachukua form ya kuwania kinyanganyiro unitue tafadhali
am sorry mimi ntoe tafadhalii...sinaga hizoo...!!!akaahh!!!
sitaki matatizo miyee
Najitoa kwenye mpambano...nimeshindwa mimi aisee...
Queen of Mashauzi Africa mashariki na kati.
Khakhaakhaaaaa lako hilo kama si lako la jirani yako bibie... Umemaliza kutapika au nikuongezee limao???Nalala mme ananingoja kitandani
We wako hapa ukimcc umemaliza
Ukinihitaji tena hapa nitarudi mahonda
Cc taahira wenzio
Good night
Mimi sitakiiiWatu mbona mnalikimbia battle? Ila wananchi ndo wataamua
Weeeeee unitoe tafadhali.. Next week iwe wanaume.... Usiegemee upande mmojaNext battle mchague hapa:
1. Mahondaw vs Ms.Lincoln
2. Aggyjay vs rubii
3. geniveros vs demi
4. rubii vs mahondaw
Battle ipi itokee wiki ijayo kati ya hizo?
Sitaki.Next battle mchague hapa:
1. Mahondaw vs Ms.Lincoln
2. Aggyjay vs rubii
3. geniveros vs demi
4. rubii vs mahondaw
Battle ipi itokee wiki ijayo kati ya hizo?
Wapeleke balehe zao kwa wazazi wao
kama huyu ni mmoja wa washndan nimempa kura yangu tyr na akishnda aje mm ndo nna zawadi ya hili shindano
Nasikia huyu ndio naniii ?
Hebu Kipeleke kwa wazee wako huko.Wapeleke balehe zao kwa wazazi wao
Mawasiliano yote pm.,mapenzi yote pm..kiki zote kwenye thread majukumu yameisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]DQ inaitwa... Kama genre ya kwenye movie.Najitoa kwenye mpambano...nimeshindwa mimi aisee...
Queen of Mashauzi Africa mashariki na kati.
We dyadya weweeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mapenzi ya kutiana kwa watsapp[emoji23][emoji23] afu wivu wakakuonee jf,unakosa maadui mtaani unatafuta kinguvu mtandaoni.