Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Bby kwanini unatoa siri za ndani..[emoji3]
Huyu hapendi kubembelezwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bby kwanini unatoa siri za ndani..[emoji3]
Huyu hapendi kubembelezwa
Mawazo ya mtu humwosha mtu alivyo. Hata wewe nishakujua ulivyo[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji85]Wanaume wa JF mnaweza ibiwa kiakili
Aliyekwambia Evelyn salt mzuri kichwani nani ??? Au nani amekwambia miss natafuta sijui yupo hivi ???
Unaweza kufungua I'd humu na Ku act unavyotaka .....
JF ni mtandao wa siri wakuu usipagawe na avatar au mawazo anayotoa mtu
Wanaume kutwa kusifia sifia tu et yuko smart kichwani amekwambia nani
Mimi sioni tatizo lingine,kujitafutia umaarufu mavi bure tu.Unataka kuongelewa,ukiongelewa unaona unaonewa!Unajitafutia kuonekana unaonewa wivu,unajifanya victim kuwa unafwatiliwa wakati what you do is making noise kila mahali kuwa upo!!Unataka kuwa bingwa wa kulisha watu ndimu wakt watu wenyewe wamevurugwa...shenzee!
Duuh JF bhanaPanya aliyeachiwa na mwenye nyumba baada ya kula diary, atatafuna pesa zake..... Endelea kunawa maji ya pilipili, usifungue uzi ukilalamika pilipili inakuwasha
Nataka ajue sikupendi ili ajilenge nimpige cha mbavu mamy.Bby kwanini unatoa siri za ndani..
Ungeendelea kutafuta umaarufu mavi kujifanya unasemwa unasemwa kwa kipi, kujishtukia vipi... Hata ukikuta mende wawili si utajihisi wanakusema?
Yani sijawahi hata kukufikiria ila hii attack nitaanza kukufikia sasa kuwa kuna taahira namjua humu
Tena mme mme kweli sio mme wa onlineAkikupenda mmeo imetosha!
Ya mwisho.Next battle mchague hapa:
Mahondaw vs Ms.Lincoln
Aggyjay vs rubii
geniveros vs demi
rubii vs mahondaw
Battle ipi itokee wiki ijayo kati ya hizo?
Next battle mchague hapa:
Mahondaw vs Ms.Lincoln
Aggyjay vs rubii
geniveros vs demi
rubii vs mahondaw
Battle ipi itokee wiki ijayo kati ya hizo?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]wacha weeeWewe mgeni humu??
Kunawatu wanajuana mpaka magegedeo yao
Wapeleke balehe zao kwa wazazi waoKuna wajamaa humu balehe bado inawasumbua...
am sorry mimi ntoe tafadhalii...sinaga hizoo...!!!akaahh!!!Next battle mchague hapa:
Mahondaw vs Ms.Lincoln
Aggyjay vs rubii
geniveros vs demi
rubii vs mahondaw
Battle ipi itokee wiki ijayo kati ya hizo?
Unanipanga eeh..Nataka ajue sikupendi ili ajilenge nimpige cha mbavu mamy.
ImeonaeeeMh unamuita kama mkurya loh
Najitoa kwenye mpambano...nimeshindwa mimi aisee...Next battle mchague hapa:
Mahondaw vs Ms.Lincoln
Aggyjay vs rubii
geniveros vs demi
rubii vs mahondaw
Battle ipi itokee wiki ijayo kati ya hizo?