Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
mimi nawapa woteLeo nimeona niwapambanishe hawa warembo wawili! Hebu tiririkeni katika huu mpambano unahisi nani ni mkali yaan pini, kabarikiwa toka juu hadi chini, akipita sehemu vidume wote lazima wageuke!! Kura yangu itakua ya mwisho.
Update
MATOKEO
Kura zilizopigwa: 19
Everlyn Salt: 10
Miss Natafuta: 5
Zilizoharibika: 4
MSHINDI WETU NI EVELYN SALT
Kwa Putin kwema?mimi nawapa wote
aisee kwema bro, summer time sa ivi.naskia upo kwa kina mao tse kunKwa Putin kwema?
kina dada wengi humu tuna wapenzi wa kutamanika...namaanisha wanaume handsome wenye nafasi zao wametupenda tumedata...ila hili ni jukwaa la kubadilishana mawazo na kuchangamshana wala usilichanganye na maisha yako ya faragha...
Mm ni Ke na ninaye wa kum Cc ila sio hapa[emoji38] [emoji38] [emoji12] [emoji87]Sina mkuu kama wewe ni Me njoo tujiCC na sisi tuwe na publicity na attention[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent from my Iphone 7 plus using JamiiForums app
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]aisee kwema bro, summer time sa ivi.naskia upo kwa kina mao tse kun
Shem Ivuga umeadimika mkuuaisee kwema bro, summer time sa ivi.naskia upo kwa kina mao tse kun
Mnaciciana wapi nyie? Nataka niwaigilizieMm ni Ke na ninaye wa kum Cc ila sio hapa[emoji38] [emoji38] [emoji12] [emoji87]
Jesus is my saviour and a friend
Chumban shem[emoji87] [emoji38]Mnaciciana wapi nyie? Nataka niwaigilizie
Hadi nimeona aibu mimiChumban shem[emoji87] [emoji38]
Jesus is my saviour and a friend
Good for you ngoja niache nafasi wazi na mimi natafuta wa kumCC [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mm ni Ke na ninaye wa kum Cc ila sio hapa[emoji38] [emoji38] [emoji12] [emoji87]
Jesus is my saviour and a friend
Y shem jmn na ulitaka kujua[emoji87] [emoji85]Hadi nimeona aibu mimi
Wapo wengi ni wewe kuchagua tu kati ya hao wengi[emoji87] [emoji87] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Good for you ngoja niache nafasi wazi na mimi natafuta wa kumCC [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Iphone 7 plus using JamiiForums app
Nilijua labda pm kumbe kitandani.Y shem jmn na ulitaka kujua[emoji87] [emoji85]
Jesus is my saviour and a friend
hahahahhahha chumbaniiMnaciciana wapi nyie? Nataka niwaigilizie