Saturday battle: Everlyn Salt vs Miss Natafuta

Cc Paw naomba uje utoe ban ya mwezi kwa raia wawil walio haribu huu uzi...najua wanafahamika
 
Anawazimu naye na umbea tele
et uzi umeharibiwa wakati watu tumekesha hapa tunaburudika na kushangilia ushindi.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] yaaani umeona eehhh!!

akina st.theresa na father benedict huku hakuwafai...!!
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] yaaani umeona eehhh!!

akina st.theresa na father benedict huku hakuwafai...!!

Mods wenyewe wanajua huku ni chakaramu tu ngoma yoyote inachezwa ila matusi hayaruhusiwi
 
Tanzania ya viwanda

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mods wenyewe wanajua huku ni chakaramu tu ngoma yoyote inachezwa ila matusi hayaruhusiwi
nashangaa mtu kafika na kuripoti..hawa kipindi cha shule ndo walikua maspy hawa[emoji2] [emoji2] [emoji2] na shule ya msingi mamonita!!!wanoko balaa
 
On behalf, teh namuombea msamaha
Msamehe bure akikua ataacha
Ni stage tu itapita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…