Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
😀😀😀😀Hata wanawazazi?! wapo kama bangi wanajiotea tu kokote
Mkwe kuanzia leo uachane na kijana wangu
Naona siku za mbele nae utamuona bangi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀😀Hata wanawazazi?! wapo kama bangi wanajiotea tu kokote
😀😀😀😀
Mkwe kuanzia leo uachane na kijana wangu
Naona siku za mbele nae utamuona bangi
HahahahahaVigezo vilikuwa nini labda ninaweza kupiga kura na mimi.
Chura, sura, mwandiko, mauno,vikojoleo au nin?
Shougaaa sio kwa kunitenga hukooo...
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Akuuuu!!!
Sichuni ng'oo ni mpaka kwanza uniambie kipindi kile ulivyokaa muda mrefu bila kupata dushe hiyo hali ilikuletea/ilikusababishia madhara gani!![emoji28][emoji28][emoji28]mbona hvyoo...!!uchune tu
hadi nyuma pia skonzi[emoji23] [emoji85]Skonzi ina maana kifuani kitu kipo kama embe bolibo
wewe wewe nitoe hapo[emoji10]Next battle mchague hapa:
1. Mahondaw vs Ms.Lincoln
2. Aggyjay vs rubii
3. geniveros vs demi
4. rubii vs mahondaw
Battle ipi itokee wiki ijayo kati ya hizo?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ushachelewa sasaaSichuni ng'oo ni mpaka kwanza uniambie kipindi kile ulivyokaa muda mrefu bila kupata dushe hiyo hali ilikuletea/ilikusababishia madhara gani!![emoji28][emoji28][emoji28]
Post sent using JamiiForums mobile app
Rafiki kuninyima ubuyu ndo nini?![emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ushachelewa sasaa
Hujui kuchamba?!wewe wewe nitoe hapo[emoji10]
halafu ikiingia dosari nkachambwa..nami kuchba sijui[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaaaa. Hatujambo mtoto mzuri mwenzangu.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ujue kila unachoandika mi mwenzio huku sina mbavu lolOyoooooooooooooooooooo [emoji119][emoji119][emoji119]
ndio..utakuja kunisaidia??Hujui kuchamba?!
Unajua kuchambisha ni kazi ngumu ujuendio..utakuja kunisaidia??
sana..mi bora njitoe tu [emoji23]Unajua kuchambisha ni kazi ngumu ujue
Yule jamaa yako wa maghorofani anaiweza hiyo kazi vzrsana..mi bora njitoe tu [emoji23]
nhh...nani huyo??Yule jamaa yako wa maghorofani anaiweza hiyo kazi vzr