Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakutaja jina ila wapo wanaume wanaowafuata pm.Mkuu sijawahi kumfuata mtu pm hata mmoja huku ila na comment kutokana na threat zake mkuu that all men.
HAHHAHAA..Hahahaah as long as wanawake hatupendani heheheee.. Tunapambamisha jamani kama uzi unavyotaka..
Cc Smart911
Lol msukuma wewe kura yako tayari inajulikana ilipo wewe hahahaahMSUKUMA
Got you mkuu!Sijakutaja jina ila wapo wanaume wanaowafuata pm.
Kuwa muelewa muda mwingine usikurupuke kujibu hovyo hovyo tu.
Hii battle ya comparison, mmoja anapilipili zinamwasha😉😉😉Mmoja anawashwa sana tena sanaaaa mwingine walaaaa hana hata nyege [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
MI NAPIGA KURA KIMYAKIMYA..Lol msukuma wewe kura yako tayari inajulikana ilipo wewe hahahaah
Kumbe unakumbuka lol weee mbayaaaaaaaaaaaaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dah yaani umetumia msemo wa kihenga ....my late grand ma alikuwa anapenda kuutumiakaanga mbuyu tu....
Hahahaah whatever the case hata miss akashindwa but kura yangu nampaaaa ikiwezekana naiba hadi kura ya my king Smart911MI NAPIGA KURA KIMYAKIMYA..
..NASUBIRI MSHINDI TU.
KAMPENI SINA..NAOGOPWA KUJA KUCHAMBWA..
MWENZAGU UNA GUTS KWELI[emoji18] [emoji18]
Mi nakukubali sana ms.lincoln hao wote si mali kitu kwakoWapigane tuamue mshindi
Miss Natafuta katuliaaa afu yupo bize na mambo yake huyo mwingine anasubiria mahondaw amwagwe na Smart911 Hahahaah [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1]Huyu mahondaw naona anipiga kampeni siku ya kupiga kura