Saturday Morning Breakfast

Saturday Morning Breakfast

You are and you will be what you eat!![emoji30] [emoji30] .....babu yako ni kweli alikula vitumbua kwa wingi na akaishi miaka mia ila kipindi hicho hapakuwepo na bodaboda kwa hiyo alikuwa anatembea kwa miguu deile(mazoezi) kwa hiyo alikuwa anayeyusha mafuta kirahisi ila wewe hutembei sehemu ya hatua mia bila bodaboda!![emoji23] [emoji23] [emoji23] .....Babu yako alikula vitimbua kwa wingi ila alikuwa analima mboga za majani,wewe mboga za majani unaona ni chungu kama dawa[emoji23] [emoji23] [emoji23] sumu za mafuta zitatokaje mwilini???[emoji23] .......babu yako alikula vitumbua kwa wingi ila alikuwa anatafunia na maziwa wewe baada ya kula vitumbua unaenda kunywa bia na unaona mtindi ni ushamba!![emoji23] [emoji23] ........babu yako alikula vitumbua kwa wingi ila alikuwa anakula asali kwa wingi,wewe mara ya mwisho kuiona asali ni lini???[emoji23] [emoji23] ......do you see??...do you discovered something??....do you learn something??.....Do you????
Hufundishwi mazoezi, Hufundishwi kujituma, those are inner drive, kula mchemsho kila siku hakukufanyi uwe beta physically.
 
Haya upate mume bora Ameeen
1474822933857.jpg
 
Back
Top Bottom