Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Hahahaaa tunaitanaga hivyoLimenitoka tu Shunie wala sifahamu kama huwa mnaitanaga hivyo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa tunaitanaga hivyoLimenitoka tu Shunie wala sifahamu kama huwa mnaitanaga hivyo!
Hebu hukooooHaahahaahha eti mchochezi nimejisemea tu mm
Khaaaaa we mbaba jamani
Hahhahaha jinga wwNimependa gauni lako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Asa unalia nini eti mdaka chozi!
AuntieRaha ya kukimbia uwe na kampan, yaani rahaaa.
Ila hizo marathon zenu muende tuu mie hata sinaga mzuka nazo sijui uzee[emoji134][emoji134][emoji134]
La YangaHahhahaha jinga ww
Hahahhha mutu gani dadaWewe dada!.
Utalalia mutu
Hahahhaa ebu Dada niacheeeNa mie unigawie
Mimi niliiweka ili kutia misisitizo umsikilize mwenzako...Hahahaaa tunaitanaga hivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Auntie
Ukuje tuwe tunakimbia wote
Auntie ebu acha ushambaRaha ya kukimbia uwe na kampan, yaani rahaaa.
Ila hizo marathon zenu muende tuu mie hata sinaga mzuka nazo sijui uzee[emoji134][emoji134][emoji134]
Mie nahisi wote wajeda!Hahahaha mjeda si mmoja tu lakini
Mutu kubwaHahahhha mutu gani dada
UchoyooooHahahhaa ebu Dada niacheee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nacheka mm ujue ww ni chiziMie nahisi wote wajeda!
Kila mtu anasema katoka kwa pori
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Auntie ebu acha ushamba
Yupi huyoMutu kubwa
Ewaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Njoo labda utanishawishi twende kili marathon next year.
Hahaha kukimbia na kampani hiyo vipiiii unanitia aibu auntie yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani sijawahi kuwaelewa ujue[emoji134][emoji134][emoji134]