Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
Hutaki kidogo nikupe liftiMuongo mfyuu
Asante bestie.. halafu niliona mtu kama wewe yani nikataka nimshtue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Raha sana
Nyingine uje bwana. Watu kutoka kule kwenu wapo wengi tuu
Jumamosi mpaka jumamosi ndio ratibaKesho napumzika
Wapi hapoNisubirie hapo hapo
Km ngapi eti dearTukimbie kwa afya.
Wakimbiaji wenzangu tukutane DASANI MARATHON View attachment 1127790View attachment 1127791
Shkamoo ShemTukimbie kwa afya
Babe nipo apa ebu njooTukimbie kwa afya
Hahhahaha acha kunikomazia babe wanguShkamoo Shem
Samahani dadaHahhahaha acha kunikomazia babe wangu
Si hapo alipokuwa mziguaWapi hapo
Hahaha hahahaSi hapo alipokuwa mzigua
Hahaha hahaha
Sawa dear, tufanye nimeelewa
Mimi siko huko dear!Ulikuwa wapi maan hatukukuona kabisa
Mimi siko huko dear!