Saturday Morning Run

Saturday Morning Run

Hivi nyie kukimbia km21 mnafanya utani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Social runners tunakimbia na kutembea ilimradi tumalize hizo 21km. Wale wanaotaka pace za sifa ndo wanaona kazi maana hawatembei kabisa kina mimi tunamaliza fresh tuu yani.
 
Ewaaaaa
Huwa hatukimbii kushinda, tunakimbia kumaliza!
 
Ndo ilikua kauli mbiu yetu leo. Wanaokimbia kwa pace ya 5 waende sisi tunakimbia kumalizia sio kushinda.
Mwenyewe nikiwaambiaga watu naendaga 21km wanabisha
 
Asante dadangu!
Wewe umewahi kimbia ama ndo unaenda anza?!
Looh. Nimeanza mwaka huu mama
Nilianza na Airtel Fun Run nikaenda 5km.
Nikaenda Kili Marathon 21km
Tanga Marathon 21km
Heart Marathon 10km
Na naenda Dasani tena 21km
Na mwezi wa saba tarehe 7 naenda Dodoma Capital City Marathon 21km.
Mwaka huu nimewekeza kwenye afya tuu na afya nipate na medali
 
Ndo ilikua kauli mbiu yetu leo. Wanaokimbia kwa pace ya 5 waende sisi tunakimbia kumalizia sio kushinda.
Mwenyewe nikiwaambiaga watu naendaga 21km wanabisha
Hata mie sijawahi waza kimbia kushinda, huwa nakimbia kumaliza! Ila kama huna mazoezi utamaliza usiku best
 
Looh. Nimeanza mwaka huu mama
Nilianza na Airtel Fun Run nikaenda 5km.
Nikaenda Kili Marathon 21km
Tanga Marathon 21km
Heart Marathon 10km
Na naenda Dasani tena 21km
Na mwezi wa saba tarehe 7 naenda Dodoma Capital City Marathon 21km.
Mwaka huu nimewekeza kwenye afya tuu na afya nipate na medali
Hongera sana dear!
Mie huwa natamani sana, sema kibarua chanibana sana!

Kumbe ulikuwa kili Marathon?! Mbona hatujatafutana dear! Mwenyewe nilikuwa 21km
 
Back
Top Bottom