Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Sio utani wala!Hivi nyie kukimbia km21 mnafanya utani?
Hizo 21 mbona nazikimbia sana tuu mimi!
Kili Marathon huwa nakimbia 21 kila mwaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio utani wala!Hivi nyie kukimbia km21 mnafanya utani?
Asante dadangu!Hongera mama..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Social runners tunakimbia na kutembea ilimradi tumalize hizo 21km. Wale wanaotaka pace za sifa ndo wanaona kazi maana hawatembei kabisa kina mimi tunamaliza fresh tuu yani.Hivi nyie kukimbia km21 mnafanya utani?
Ewaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Social runners tunakimbia na kutembea ilimradi tumalize hizo 21km. Wale wanaotaka pace za sifa ndo wanaona kazi maana hawatembei kabisa kina mimi tunamaliza fresh tuu yani.
Looh. Nimeanza mwaka huu mamaAsante dadangu!
Wewe umewahi kimbia ama ndo unaenda anza?!
Hata mie sijawahi waza kimbia kushinda, huwa nakimbia kumaliza! Ila kama huna mazoezi utamaliza usiku bestNdo ilikua kauli mbiu yetu leo. Wanaokimbia kwa pace ya 5 waende sisi tunakimbia kumalizia sio kushinda.
Mwenyewe nikiwaambiaga watu naendaga 21km wanabisha
Hongera sana dear!Looh. Nimeanza mwaka huu mama
Nilianza na Airtel Fun Run nikaenda 5km.
Nikaenda Kili Marathon 21km
Tanga Marathon 21km
Heart Marathon 10km
Na naenda Dasani tena 21km
Na mwezi wa saba tarehe 7 naenda Dodoma Capital City Marathon 21km.
Mwaka huu nimewekeza kwenye afya tuu na afya nipate na medali
taarifa za mapema muhimu bebe, cheki tunavyopishana sasaBabe nipo apa ebu njoo
Shem hiz shikamoo unazipenda sana kwanini, kijana mwenzao unanikosesha vingi sasa🤣🤣Shkamoo Shem
Hapana..Shem hiz shikamoo unazipenda sana kwanini, kijana mwenzao unanikosesha vingi sasa[emoji1787][emoji1787]
Hahahaha babe anakukosesha nn ebu niambieShem hiz shikamoo unazipenda sana kwanini, kijana mwenzao unanikosesha vingi sasa[emoji1787][emoji1787]
Lazima tena jamaniHapana..
Wewe lazima nikusalimie Shem
Kwahiyo haiwezekani babe [emoji134][emoji134] umeshatekwataarifa za mapema muhimu bebe, cheki tunavyopishana sasa
NdiwoooLazima tena jamani
Hahahah ebu nipe hiyo sababu ya hiyo lazimaNdiwooo
Hutaki au
Hapana..
Wewe lazima nikusalimie Shem
Mambo ShemShem shikamoo inanifungia brake yani , nipe zingine buana
Hongera Dada.. Keep it up!Tukimbie kwa afya.
Wakimbiaji wenzangu tukutane DASANI MARATHON View attachment 1127790View attachment 1127791