Hahahhaha kaka mdogo wako simuelewi mm ujueNaona mapema sana mmeanza kuchangisha karata hahahah umakini muhimu kambi za bakabaka sio za haraka my wadogo ila kila kitu naona sawiaaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwahiyo unataka uji toka kwa shem wako eenhHahaha hahaha hahaha
Baridi bila uji haliendi jamani
Njoo nisaidie kufua mamaDobi mchana huu jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Social runners tunakimbia na kutembea ilimradi tumalize hizo 21km. Wale wanaotaka pace za sifa ndo wanaona kazi maana hawatembei kabisa kina mimi tunamaliza fresh tuu yani.
Sawa kama mnakimbia 21km nyie mko fit hongereni sanaEwaaaaa
Huwa hatukimbii kushinda, tunakimbia kumaliza!
Huo mguu unafaa kwa foot work dadaTukimbie kwa afya.
Wakimbiaji wenzangu tukutane DASANI MARATHON View attachment 1127790View attachment 1127791
Hongera sanaSio utani wala!
Hizo 21 mbona nazikimbia sana tuu mimi!
Kili Marathon huwa nakimbia 21 kila mwaka
Safi sana mfundishe na shuna kwenda jumuiyaAsante dear!
Mimi nikitoka jumuiya naanzaga udobi na fatiki la ndani na nje!
Memaliza kitaaambo! Nimelala sasa!
Nakuja kukusaidia best napenda sana kufua jamani
Nimeipenda hiiSio utani wala!
Hizo 21 mbona nazikimbia sana tuu mimi!
Kili Marathon huwa nakimbia 21 kila mwaka
We mbaba aliyekwambia mm siendi jumuiya naniiiiSafi sana mfundishe na shuna kwenda jumuiya
Huna mke akufulieNjoo nisaidie kufua mama
Hilo guu lako?Tukimbie kwa afya.
Wakimbiaji wenzangu tukutane DASANI MARATHON View attachment 1127790View attachment 1127791
Kumbe Mungu amenipitisha mule mule[emoji6]mke mwema hutoka kwa BwanaWe mbaba aliyekwambia mm siendi jumuiya naniiii
Hata Baba wa imani Ibrahim alikuwa na wawiliHuna mke akufulie
Sawa MkuuNimeipenda hii
Huwa anaenda MkuuSafi sana mfundishe na shuna kwenda jumuiya
Hahaha hahaha hahaha hahahaWe mbaba aliyekwambia mm siendi jumuiya naniiii
Asante sanaHongera sana
Basi yupo vizuri pasua kichwa,naona ananikaribia kwa mbaliii!